Pre GE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna maswali ya mtego kipanya kamuuliza tundu! Tundu kastukia mtego akamjibu tafuta kipindi kingine hy ni mada nyngn leo tunaongelea tume nikasikia studio background siza anamwambia kipanya leo "utajua hujui" huku lisu akiendelea kuongea sijajua maana yake huu msemo
 
Zitto uchawi umetafuna sana akili yake. Anaona wivu sana kumpa mileage Lissu alivyotema nondo hapa anajitafuna tafuna huku akijaribu kutetea huu ujinga.

Zitto ni totally a lost case!
Zito anaongea vizuri. Namwelewa..
Anasema kwa waru makini watu wote ambao wapo kwenye tume ya taifa ya uchaguzi kwa maana ya Mkurugenzi na kamisha wa tume na msururu wa watu waliopo kwenye ofisi ya tume walipaswa kujiuzulu toka jana. Ili kupisha mchakato wa kupata watu wapya.
 
Kuna maswali ya mtego kipanya kamuuliza tundu! Tundu kastukia mtego akamjibu tafuta kipindi kingine hy ni mada nyngn leo tunaongelea tume nikasikia studio background siza anamwambia kipanya leo "utajua hujui" huku lisu akiendelea kuongea sijajua maana yake huu msemo
Kama lipi
 
Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa.

Tusikilize uchambuzi makini.
Hao ni wahuni tu kama wahuni wengine serikali inafanya mabadiliko wao wanakusanyana kubwabwaja bila kutoa majibu tunapaswa kuridhika na mabadiliko yaliyopo ndio tuendelee kudai mengine
 
Tunapaswa kuridhika na mabadiliko sahihi na sio mabadiliko kwa matakwa ya serekali.
 
Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa.

Tusikilize uchambuzi makini.
Mkuu tuunganishe na Hiyo Live
 
Back
Top Bottom