Pre GE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

Pre GE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jambo lolote likiwa limebeba nia mbaya nyuma yake, haliwezi kuleta matokeo mazuri. Toka awali CCM ilionyesha rangi yake halisi na hatimaye kuja na hii inayoipia upatu kama INEC.

Mchakato wowote ule unategemea mambo makubwa manne, yaani
1. Environment
2. Input
3. Throughput, and
4. Output

Muundo na shughuli za tume vyote vimezungukwa na mazingira ya kisheria. Kwa hiyo basi ni kweli usiotia shaka kama alivyosisitiza Mh.Lissu ilikuwa ni jambo la maana tume hii ipate baraka za kikatiba, kwa kuwa Katiba ndiyo sheria mama, na sheria yoyote inapaswa kupata uhalali kupitia kwake.

Katika hatua ya "inputs" natambua kila mtu alishihudia jinsi ilivyoghubikwa na sintofahamu nyingi katika kuchuja na kukubaliana na maoni ya wadau mbalimbali. CCM iliiteka hatua hii sambamba na ile ya "throughput" mpaka ikafanikiwa kutuletea kiini macho hiki cha "output" iliyobatizwa kwa jina la tume huru ya uchaguzi, INEC.

CCM ni kama mbwa mwitu aliyejificha ndani ya vazi la kondoo. Tayari kafanikiwa kujipenyeza katika kundi la wanakondoo wasiokuwa na hatia, tusubiri vilio katika chaguzi za mwaka 2024 na 2025 kupitia katika tume hii.
 
Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa.

Tusikilize uchambuzi makini.
Puppet yuko live sio 🐒
 
Masaliti ya nchi yamekusanywa hapo
HuN usually wewe kaa kimya. Endelea kuihabarisha dunia kuhusu mafuriko huko rufiji mbw.. wewe ulitukana sana watu ati wanatumiwa na wazungu walipopinga ujenzi wa bwawa kwamba hapakuwa na env impact assessment
 
zito anamzidi vitu vingi sana kibaraka aise dah 🐒
 
Back
Top Bottom