Pre GE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

Pre GE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao ni wahuni tu kama wahuni wengine serikali inafanya mabadiliko wao wanakusanyana kubwabwaja bila kutoa majibu tunapaswa kuridhika na mabadiliko yaliyopo ndio tuendelee kudai mengine
Another Chawa.....at work
 
Zito anaongea vizuri. Namwelewa..
Anasema kwa waru makini watu wote ambao wapo kwenye tume ya taifa ya uchaguzi kwa maana ya Mkurugenzi na kamisha wa tume na msururu wa watu waliopo kwenye ofisi ya tume walipaswa kujiuzulu toka jana. Ili kupisha mchakato wa kupata watu wapya.
Sio tu kujiuzulu hao wapya wenyewe wako Huru kiasi gani?
 
Zitto uchawi umetafuna sana akili yake. Anaona wivu sana kumpa mileage Lissu alivyotema nondo hapa anajitafuna tafuna huku akijaribu kutetea huu ujinga.

Zitto ni totally a lost case!
Zitto anasemaje kwani, yuko upande gani?
 
Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa.

Tusikilize uchambuzi makini.
Wamekuja na tamthilia gani!
 
Back
Top Bottom