Pre GE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao ni wahuni tu kama wahuni wengine serikali inafanya mabadiliko wao wanakusanyana kubwabwaja bila kutoa majibu tunapaswa kuridhika na mabadiliko yaliyopo ndio tuendelee kudai mengine
Another Chawa.....at work
 
Sio tu kujiuzulu hao wapya wenyewe wako Huru kiasi gani?
 
Tundu Lissu yupo live Clouds FM anachambua Tume Huru uchwara ya Rais Samia.
Anaeleza suala la kuweka tume ya uchaguzi bila kubadili vifungu vya katiba ni uhuni wa kiwango cha kushangaza sana.

Anaendelea.....
Hahaaaa Huyu Msomi aliyebobea some time anajua vitu mpaka anakera.

Hahahaa
 
Zitto uchawi umetafuna sana akili yake. Anaona wivu sana kumpa mileage Lissu alivyotema nondo hapa anajitafuna tafuna huku akijaribu kutetea huu ujinga.

Zitto ni totally a lost case!
Zitto anasemaje kwani, yuko upande gani?
 
Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa.

Tusikilize uchambuzi makini.
Wamekuja na tamthilia gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…