Muda aliodhania angebadili mtazamo wa viongozi na wa kuongoza nao umeisha bila kufanya hivo je kashindwa?

Tusubiri Baraza litatupa picha,Ila mleta Uzi hasipuuzwe hata ugonjwa was Magufuli Hadi kifo watu walikuwa wanapuuza tetesi za mamma hii.
 
Sana
 
Mambo yamebadilika "Sasa tunawaza na kusema mrithi wa 2030 baada ya ye kumaliza awamu ya pili,kana kwamba 2025 uchaguzi mshindi ameshapatikana Tena ameteleza Kwa utelezi"

Kila chawa anaimba "mitano Tena" NAMI naimba "JAMHURI TENA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…