Muda gani sahihi wa kubadili oil kwenye pikipiki

Mkuu hiyo ya kelele kwenye shock up naonaga kawaida tu hata mimi inanitokeaga..kuhusu battery achana na battery za maji kwanza zitakuchafulia piki piki hasa kwenya kale kafuniko ka chaini box kanakofunika sprocket ya mbele,nunua battery amabayo ni dry utafurahia.
 
Shukran mkuu,,
Ule mlio ukanipa wasiwasi nikahisi labda ndo shock ups kuisha nn?

Hivi dalili za shock ups kuisha ukiachana na kugonga ninapo pita kwenye bums nyingine ni kama ipi kwamfano?
 
Wakuu ile Bm 150 niliyinunua mwezi wa saba Leo nimebadili jino namba 3 kwenye gear box hv nn litakuwa tatizo hapo wakuu
 
Shukran mkuu,,
Ule mlio ukanipa wasiwasi nikahisi labda ndo shock ups kuisha nn?

Hivi dalili za shock ups kuisha ukiachana na kugonga ninapo pita kwenye bums nyingine ni kama ipi kwamfano?
Shock up zikiisha kwenye bums piki piki inakuyumbisha haitulii..wasi wasi wako tu Mkuu,siku zikiisha utajua tu maana ukiweka kamzigo lazima iende chini usishangae ikagusa hata tairi.
 
Wakuu ile Bm 150 niliyinunua mwezi wa saba Leo nimebadili jino namba 3 kwenye gear box hv nn litakuwa tatizo hapo wakuu
vp Mkuu..imeku cost sh ngapi kubadili?
 
Ukiwa unaendesha ukiweka gear #3 utasikia mvumo kwenye chain box ambapo gear zingine zitakuwa hazitoi huo mvumo kabisa
 
mkuu unalijua duka lolote la vifaa og vya boxer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizo shokup hazina shida nikawaida sana kwa boxer zisikuumize kichwa ila betri ukiweka maji inatakiwa utembelee umbali flani kama bdo itazingua basi itakua cell zishaanza kufa tafuta betri ingine dry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boxer 150, kutokuwakia kwenye gia ukiminya starter, na muda mwingine kuchelewa kuwaka ukiminya starter shida inaweza kuwa nn?
 
Wakuu
Boxer huwa zinakwenda Kms ngapi hivi kwa litre 1 ya petrol?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…