Muda gani sahihi wa kubadili oil kwenye pikipiki

Muda gani sahihi wa kubadili oil kwenye pikipiki

Hapo inawezekana mkuu, ila Bata unazifuata mbali sana chief(80km).... hahahahaha
Huwaaa nakaa mda mrefu bila kurud home so nina bm150 ipo ndan tu..duniaa inabadlika sana ukiwa na usafir safar haziishii lazma ukajione na ku discover new area..
 
Labda wanatembea mwisho speed 50kph... yaani uvute mafuta 90kph to 100kph halafu ikupe 60 au 80 kwa litre moja? Means dar-moro unatumia litre 2 tu? Hahahahahaa
Mkuu
Yani mimi kusema et 60km/litre bado sina imani 100%
Maana kuna BM 125 apa inapiga kila siku 40km
Imepigwa services zote, engine imetulia hakuna sijui kutoa moshi mweusi wala kelele ya ajabu,
Lakin inatumia 1litr kwa 40km.
Na mwendo ni 80kph.
Sas kuna haja ya kuanza kuchokonoa carburetor kupunguza ulaji au ndo tutaiharibu?
 
Hii kitu siaminigi..me kwa tvs king lita tano napata kwanzia kilometa 130 hadi 150 wastani
Hiyo pikipiki mkuu ina shida, juz nimeweka lita 2 nimeenda Km 90 na bado yapo, ina miaka miwli na nusu Barabaran, tvs stars 125
 
Mkuu
Yani mimi kusema et 60km/litre bado sina imani 100%
Maana kuna BM 125 apa inapiga kila siku 40km
Imepigwa services zote, engine imetulia hakuna sijui kutoa moshi mweusi wala kelele ya ajabu,
Lakin inatumia 1litr kwa 40km.
Na mwendo ni 80kph.
Sas kuna haja ya kuanza kuchokonoa carburetor kupunguza ulaji au ndo tutaiharibu?
Bajaji tvs king yenye kilo 350 kerb weight ukibeba watu wanne plus 1 driver mfano wenye kilo 65 kila mmoja as avg kama hakuna milima mikali unapata 28-30km per liter
 
Wewe
Mkuu hongera sana kwa kununua Boxer..kwenye user manual ya Boxer BM 150 wanakuambia utumie oil ambayo ni SAE 20w50 API SL or JASO MA grade na umwage oil kila baada ya kilometer 5000,bila kusahau kubadili oil filter kila baada ya kilometer 20,000(kama ni oil filter original) basi hapo utadumu nayo.Binafisi huwa siangalii kilometer nimejiwekea tu utaratibu wa kumwaga oil na kubadili oil filter kila mwisho wa mwezi maana oil filter tunazouziwa huku sio original..kwa kufanya hivyo hadi leo piki piki bado mpya na haijafunguliwa injini japo inakimbilia mwaka wa 3.
Wewe hua unatumia oils gan??
 
Back
Top Bottom