Muda gani sahihi wa kubadili oil kwenye pikipiki

Muda gani sahihi wa kubadili oil kwenye pikipiki

Kuna jamaa ana Boxer Bm 125 inaenda 40km/litre
Mwingne ana TVS 125 inaenda 40km/litre..
Ni shida ya piki piki au nazo ndo zilivo?
Sjui mkuu mm nina bm150 ipo iringa huko huwa natumia nikiwa holiday nikipanda miliman huko huwa inakata kilometer 60-70 ila nikiwa road ya lami had 80 maana huwa naseti kabsa odometer
 
Unashindwaje wakat kuna jamaa alitoka dar had tabora na sanlg sema zingatia engine cooling kila kilometer 200 una pause then una adjust chain unawasha chuma but pia kumbuka kubadili oil kila kilometer 400-500
Hii pause inatakiwa minimum iwe masaa mangapi na je engine naiacha sailensa?
 
Hii pause inatakiwa minimum iwe masaa mangapi na je engine naiacha sailensa?
Engine unaacha silencer kama dakika5 then unazima kama dakika 20 ..kumbuka boda huunguza engine hasa hizi znazopozwa kwa upepo acha zile zenye rejeta... Yaaan ukitembea kilometer nying ika over heat ina NOKI (knock) engine
 
Kwa hiyo kiujamla kila baada ya 200km kula mpozo wa saa moja.
Sasa oil unabadilisha baada ya km 400 mzeja mpaka nafika mwanza sii nimebadilisha mara mbili na kwa nini ubadili oil maana that soon?
 
Kwa hiyo kiujamla kila baada ya 200km kula mpozo wa saa moja.
Sasa oil unabadilisha baada ya km 400 mzeja mpaka nafika mwanza sii nimebadilisha mara mbili na kwa nini ubadili oil maana that soon?
Kjn oil haitakiwi kuwa nyepes sana wanaita viscosity ratio..unapo drive kilometer mingi oil inachemka sana soo vyuma vnasagana sana soo inabidi uweke new oil ku retain viscosity sawa hapa n kitalaam zaid ndoo mana boda hata mtaaan umewahi ona ime knock wakat ndan kuna oil..shda ni hiyo
 
Aisee usithubutu kutembelea boxer Bm 150 km 5000 ndo u change engine oil ktk mazingira yetu ya kitanzania
5000km ni nyingi mno! Utaikosa hiyo engine
Badiri kila 1000 km mkuu, oil no 10k tu!
Oil ilotajwa hapo bei yake mkasi ukiitumia bila shaka tembelea tu 5000 haina dhida.
 
Kjn oil haitakiwi kuwa nyepes sana wanaita viscosity ratio..unapo drive kilometer mingi oil inachemka sana soo vyuma vnasagana sana soo inabidi uweke new oil ku retain viscosity sawa hapa n kitalaam zaid ndoo mana boda hata mtaaan umewahi ona ime knock wakat ndan kuna oil..shda ni hiyo
Haya sasa ndio majibu yalioenda skonga. Asante sana.
 
Kuna madhara yoyote ya kubana ulaji wa mafuta kwenye pikipiki?
Maana iko BM apa inakula 40km/litre ila almost kila kitu kiko sawa.
 
Mkuu hongera sana kwa kununua Boxer..kwenye user manual ya Boxer BM 150 wanakuambia utumie oil ambayo ni SAE 20w50 API SL or JASO MA grade na umwage oil kila baada ya kilometer 5000,bila kusahau kubadili oil filter kila baada ya kilometer 20,000(kama ni oil filter original) basi hapo utadumu nayo.Binafisi huwa siangalii kilometer nimejiwekea tu utaratibu wa kumwaga oil na kubadili oil filter kila mwisho wa mwezi maana oil filter tunazouziwa huku sio original..kwa kufanya hivyo hadi leo piki piki bado mpya na haijafunguliwa injini japo inakimbilia mwaka wa 3.
Kilometa efu tano ni nyingi sana hizo mkuu... Piki piki na bajaj si sawa tu ....me ilikuwaga kila two weeks unabadil oil...kwasiku inatembea kama kilometa 100-130 ..kwa hio week mbili ni kama chini ya elf 2,, pia hapo kwenye filter ni kila baada ya service tatu za oil inayofata filter inaekwa mpya ..mahesabu ya haraka ni chini ya kilometa elfu saba nabadili filter
 
Aisee usithubutu kutembelea boxer Bm 150 km 5000 ndo u change engine oil ktk mazingira yetu ya kitanzania
5000km ni nyingi mno! Utaikosa hiyo engine
Badiri kila 1000 km mkuu, oil no 10k tu!
Ataua crankshaft ...kisha itafanya block ilike upande ..block nadhani ni 90k ,, ya bajaj tuliwah nunua laki na 20
 
Mkuu hiyo ya kelele kwenye shock up naonaga kawaida tu hata mimi inanitokeaga..kuhusu battery achana na battery za maji kwanza zitakuchafulia piki piki hasa kwenya kale kafuniko ka chaini box kanakofunika sprocket ya mbele,nunua battery amabayo ni dry utafurahia.
Battery dry ni ipi nasikia watu wanaambiana tu battery dry?..hadi mafundi anakwambia hii dry afu inauzwa 30k 12V 9AH

Hivi kweli battery dry ya NiMH , ama lithium wakuwekee hadi zifike 12v na ampia kadhaa hio bei mtaweza? Hizo wanaita dry kwa juu zinamfuniko niliwah mpeleleza funsi mmoja nikaona nae hakuna kitu anajua
 
Back
Top Bottom