Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 395
- 357
Asante sana mkuu, kwa hiyo hamna haja ya kusubiri ikauke kwanza hata nikiunganisha hamna shidaHongera kwa hatua ndugu,sasa unaenda kuitwa baba mwenye nyumba.
Msingi ni siku 3
Boma siku 5
Renta siku 2
Hatua zote hapo juu hakikisha unamwagilia vyema.
Tofali za mwisho baada ya renta siku 1
Siku moja unapumzika.
Kuezeka siku 4 pamoja na blander ndani na nje.
Grill siku 1.
Mfumo wa umeme na maji siku 2
Plaster siku 5 nje ndan
Skimming siku 2
Body siku 2.
Vigae siku 5,ila time flame yako itakuwa imeisha.
Vingine vinawezekana kufanyika wakati wa weekend kama fund umeme na maji kuja kumalizia kazi zao,rangi,viio na other decorations.
All the best.
Ishu ni lesho ya cement na mchanga watakao tumia mafundi,kama hutabania cement,nakuhakikishia hakuna madhara.Asante sana mkuu, kwa hiyo hamna haja ya kusubiri ikauke kwanza hata nikiunganisha hamna shida
Siku 30 nyingi sana kama upo na pesa ya kutoshaHabari za mchana wajenzi...
Napenda kufaham, ina chukua muda gani kujenga nyumba ya vyumba vitatu kutoka msingi hadi finishing? Hapa ninakuwa na pesa yote inayohitajika. Ni mtu ambaye nimeajiriwa kwa hiyo natafuta kuomba likizo ya siku 30 ili nisimamie shughuli yote ya ujenzi hadi ikamilike. Na kama haiwezekani kukamilisha kwa siku 30, naweza kufika hatua gani?
Note.. Hii ni nyumba yangu ya kwanza kujenga/kusimamia na eneo la ujenzi ni DSM
Asante kwa ushauri
Acha uongo Mara mojaSiku 30 nyingi sana kama upo na pesa ya kutosha
Ukweli ni upi mkuuAcha uongo Mara moja
Asante kwa ushauri mkuu, njia mbadala nayoona hapa ni kupandisha boma kwanza na kuezeka halaf natulia tena hata miezi sitaHapo inategemea vipimo vya grill za dirisha na milango zitapatikana lini na fundi ataweza kukamilisha kwa muda gani.
Inakuja kwenye bati kupata running meter ili upate idadi ya bati zitakazotumika uweke order kiwandsni/ kwa wakala waanze kukuandalia order yako. Vinginevyo ukanunue yale mabati ya kawaida uunge.
Hivyo ni vitu ambavyo vinakua nje ya muda unaoutaka wewe.
Kama walivyoeleza wengine, itategemea sana na idadi ya mafundi ulionao. Ila kuna baadhi ya kazi zinategemeana, lazima ikamilike moja ndio ifanyike nyingine.
Siku 30 zinaweza isiwe ni kadirio zuri kwa ubora wa nyumba.
Asante kwa ushauri mkuu, njia mbadala nayoona hapa ni kupandisha boma kwanza na kuezeka halaf natulia tena hata miezi sita
Unatumia kigezo gani kusema ni uongo, tafadhali nasubiri hoja yako!Acha uongo Mara moja
Unataka hoja gani? Soma comment yangu hapo juu nimeeleza kila kitu.Unatumia kigezo gani kusema ni uongo, tafadhali nasubiri hoja yako!
Mkuu kwenye comment yako hapo juu umeainisha shughuli husika na siku utakazotumia kuikamilisha hiyo kazi ...swali ni kuhusu nguvu kazi, je hayo makadirio yako ya idadi ya siku yapo na mafundi na watenda kazi kiasi gani?je kama utaongeza nguvu kazi utaokoa muda kiasi gani?Unataka hoja gani? Soma comment yangu hapo juu nimeeleza kila kitu.
Hapo nimeweka maximum ya hiyo nguvu kazi. Huwezi kuweka mafundi 100 kwenye nyumba moja (practically haiwezekani)Mkuu kwenye comment yako hapo juu umeainisha shughuli husika na siku utakazotumia kuikamilisha hiyo kazi ...swali ni kuhusu nguvu kazi, je hayo makadirio yako ya idadi ya siku yapo na mafundi na watenda kazi kiasi gani?je kama utaongeza nguvu kazi utaokoa muda kiasi gani?
Sorry mkuu maximum ni ngapi exactly kwa mradi huo uliochambua???Hapo nimeweka maximum ya hiyo nguvu kazi. Huwezi kuweka mafundi 100 kwenye nyumba moja (practically haiwezekani)