Muda hautoshi na Maxence Melo

Hazina ya Waislamu. Nasubiri bio ya Muhammed Attah yule gaidi wa 9/11 kutoka kwa MS. Nasikia alikuwa na gay tendencies kama MS.
 
wamekupa zawadi ya simu sababu uko biased. yaani you have only one story.
Vola...
Hapana.
Umewahi kumsoma Hobsbawm au Max?

Ikiwa umemsoma utaona kuwa kuna ''theme,'' ndiyo anayoandikia katika hiyo theme kuna vitabu kadhaa kaandika.

Ikiwa huwajui waandishi hao niliokutajia watafute lau kidogo uwajue kisha rejea tufanya mjadala.

Iko faida itapatikana In Shaa Allah.
 
Hongera sana Mzee Mohamed Said, Kumbe jamii forums tuna hazina nzuri ya wazee. Hongera nyingi pia kwako Maxence Melo, kazi nzuri, keep up!
 
Hongera Sana Mzee wetu MS
Ulistahili Kwa mchango wako uliotukuka,
Hongera mkuu Mexence Mello
Na Uongozi wa JF Kwa kutambua mchango wa Mzee wetu!
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Dumas...
Siku moja nakata mitaa Paris nikakuta mtaa unaitwa Alexandre Dumas.
Huyu bwana kaandika vitabu kadhaa lakini ninachokipenda ni ''The Count of Monte Cristo.''

Ikiwa hujakisoma tafuta movie yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…