Muda hautoshi na Maxence Melo

Mzee muungwana sana na msema kweli.
Japo inaonekana kuwa anaegemea dini flani lakini nani asiyekuwa na upande?
Binafsi Mzee Mohammed Said sikubaliani naye katika mambo mengi tu. Hili siyo baya kabisa, wanadamu hatuwezi kukubaliana katika kila kitu.

Japo huwa naamini njia mbadala ya kukabili hoja usizozikubali ni kupitia mjadala, siyo matusi, kudharirishana , vitisho na matumizi ya nguvu ya dola.

Mijadala baina ya watu wenye uelewa mkubwa huleta afya sana ndani ya jamii. Lakini bahati mbaya watanzania hatuna utamaduni wa kupenda kufanya mijadala na kusikiliza mawazo tofauti.

Mtu akiwa tofauti na mawazo yetu au kusema jambo ambalo hatupendi kulisikia basi ni lazima atageuka adui. Kuwa makini sana mtanzania anapokuunga mkono au kukusifia kwenye jambo, siku ukisema asichokipenda, itakula kwako.......
 
Karibu mzee wangu.
Ushauri mdogo tu:
Jitahidi u balance habari, utupe historia ya wale wa upande wa pili wa imani hata kama ina ukakasi kwako[emoji28]
Glenn,
Unataka niwaingiza watu pale ambapo hawakuwako?
 
Hongera mo unastahili umetupasha sana historia
Itapendeza kama tuzo nyingine afikiriwe chief mkwawa ametupa maarifa sana upande wa technology
 
hongera sana mzeee nami nilipitia kidogo thread zako zilinifanya niinuke zaidi kimaarifa hongera sana ila naomba tender ya kukuchapia hicho kitabu chako mzee
 
Mzee Mohammed Said Facebook naonekana professor kwa ajili ya kuiba madini kwako,, siku wakinigundua sijui itakuwaje
Nyonzo...
Wala huibi.

Sote sisi ni "wezi," kwa kuchukua elimu kwa wengine.

Hivi ndivyo tunavyosoma.

Wengi wa waalimu wangu hawakuvuka elimu ya msingi.

Lakini hebu piga goti mbele yake usikize atakavyokusomesha.
 
hongera sana mzeee nami nilipitia kidogo thread zako zilinifanya niinuke zaidi kimaarifa hongera sana ila naomba tender ya kukuchapia hicho kitabu chako mzee
Lady...
Kitabu kipi unachokusudia kukichapa?
 
Lady...
Kitabu kipi unachokusudia kukichapa?
nimeona hapo juu kuna mkuu mmoja kasema utakapoandika kitabu chako usisite kumpatia
ndio mm nikasema mkuu kama utaandika kitabu chako basi mm nikaomba tenda ya kukuchapia sijui umeshanielewa hapa
 
nimeona hapo juu kuna mkuu mmoja kasema utakapoandika kitabu chako usisite kumpatia
ndio mm nikasema mkuu kama utaandika kitabu chako basi mm nikaomba tenda ya kukuchapia sijui umeshanielewa hapa
Lady...
Nimeelewa.
 
Mungu akubariki
 
Hakika unastahili certificate of appreciation. Thanks alot Mzee Said 🙏
 
Hongella sana mzee mohamed,, umesitahili.

Kwako mkuu melo big up sana,, umempa heshima kubwa sana mzee wetu, Mungu akurinde.
 
Hongera Mello kwa kumtunuku huyu kaka mkubwa,anastahili tuzo hizi vilevile pamoja na hadithi nzuri lugha anayotumia ni halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…