kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,516
- 10,423
hongera sana sheikh wangu, japo huwa sikubariani na baadhi ya hoja zako ila nakukubali sana uwezo wako wakuchambua mambo, utunzaji wa kumbukumbu na consistency, wewe ni kati ya hazina muhimu hapa nchini, tatizo lako ni kutaka kila kitu kiwe na mtazamo wa kiislam yani mawazo yako hayawazi nje ya uislam