mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 561
kimbia mzee
Pleaseee nipo seriouskimbia mzee
Tafadhali usinifanye nisilale humu ndani usiku huu!Muulize anachotaka
Nipo Dar
Hakuna, nilifunga na kitasa, na ni Mara ya kwanza haukuwahi kusumbua. Pia funguo niliiacha katika tundu la kitasa pale pale!Hakuna upepo mkali?
Saa hizi Dar ni usiku? Mbona kama una mawenge ya bangi?Tafadhali usinifanye nisilale humu ndani usiku huu!
Usichukulie serious sana..labda ikijirudia..hata hivyo sijui kama una amini katika viumbe visivyoonekana..wengi tunaishi nao majumbani mwetu..!Hakuna, nilifunga na kitasa, na ni Mara ya kwanza haukuwahi kusumbua. Pia funguo niliiacha katika tundu la kitasa pale pale!
Huu muda ni usiku kwa Dsm??Nipo Dar
Labda yuko Australia..🤣🤣🤣Saa hizi Dar ni usiku? Mbona kama una mawenge ya bangi?
Hapana chezea bange weweHuu muda ni usiku kwa Dsm??
Itakuwa Darusalam Indonesia huko.Huu muda ni usiku kwa Dsm??
Unaogopa wageni bro mikila miwili ?Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio
Mlango si mbovu na haujawahi kujifungua automatic, jamani niombeeni nini hiki?