Mnyalukolo Vahukaye
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 461
- 379
Ndoto za mchana izoNiliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio
Mlango si mbovu na haujawahi kujifungua automatic, jamani niombeeni nini hiki?