Muda huu mlango wa chumbani kwangu umefunguka wenyewe

Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio.

Mlango si mbovu na haujawahi kujifungua automatic, jamani niombeeni nini hiki?
Moyo una speed ngapi kwenye Kona? [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio.

Mlango si mbovu na haujawahi kujifungua automatic, jamani niombeeni nini hiki?
Dah! Nyumban miaka miwili nyuma hali kama hiyo ilijitokeza milango ilikua inajifungua yenyewe mara maji yanamwagika nilipangisha wapemba walivyoniambia sikuwah kukanyaga hadi wakahama wenyewe nyumba ikakaa tupu miez minne sahiv nimeweka mpangaj na ile hali haipo hata sikujuaga ni nini hadi leo
 
Sinza miaka ya 90 ukitokea kumekucha Kama unaenda lion hotel barabara ya pili unakunja Kona kuna nyumba 2 pale zilikuwa full mauzauza ukiingia ndani ulikuwa unachezea kichapo cha mbwa koko alafu anayekupiga humuoni...!!!
 
kwani hujui kiimbia wewewee?? uswazi waachie wenyewee waswazii
 
Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio.

Mlango si mbovu na haujawahi kujifungua automatic, jamani niombeeni nini hiki?
Wake za watu hawafai broo
 
Kama sio mbovu kwanini uufunge na nguo? Huo mlango ni mbovu acha kujipa stress na presha buree tu
 
Back
Top Bottom