Muda huu mlango wa chumbani kwangu umefunguka wenyewe

Ndoto za mchana izo
 
Haukuufunga....

When you have eliminated the impossible, whatever remains, however improbable, must be the truth.

Sherlock Homes...
 
Hahaha vitu vidogo hivyo.

Mimi hapa kwangu mauzauza hadi unakuta bomba za bafuni zinafunguliwa maji huku kukiwa hakuna mtu huko...

Ukijitia uoga ndo wanacjokitafuta kwako na watakuumiza ukiogopa
 
Wachawi at work.
 
Piga goti,fumba macho,anza kumuomba Yesu wa Nazareth akulinde na kukupigania,omba kwa kumaanisha,ila anza kwanza na toba siunajua Yesu ni mtakatifu,otherwise anaweza akawa anasikia kelele tu...
Naelewa unachoongea, natamani hata unayemweleza naye aelewe katika kiwango ambacho mimi naelewa. Sijui kwa nini vitu ambavyo ni OBVIOUS, huwa ni vigumu kueleweka kwa watu tulio wengi.
Kinachoniumiza sana mimi katika maisha yangu yote mpaka muda huu, ni kuona kile ninachokielewa na ambacho ni sahihi kwa zaidi ya asilimia 100%, wengi hawakielewi na wanaona wako sahihi kwa kutokuelewa kwao. Inaniuma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…