Muda mrefu sana Natafuta hii Ngoma

Muda mrefu sana Natafuta hii Ngoma

Guru Master

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
226
Reaction score
594
Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake.

Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho.

Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
 
Kuna thread kabisa inaitwa Wimbo gani unatafuta bila mafanikio?ingia humo
 
Back
Top Bottom