Guru Master JF-Expert Member Joined Jan 14, 2017 Posts 226 Reaction score 594 Oct 5, 2022 #1 Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake. Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho. Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake. Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho. Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 Oct 5, 2022 #2 Kuna thread kabisa inaitwa Wimbo gani unatafuta bila mafanikio?ingia humo