Hii week bangi inajadiliwa kweli...binafsi siungi mkono hoja
Kiukweli ni muda muafaka kwa serikali kuruhusu bangi ilimwe na kuuzwa atleast kwa watu maalum wenye magonjwa yasiotibika na watu wenye mahitaji maalum.
Vilevile pia kuna soko kubwa sana nje ya nchi kwa walimaji wa bangi ambao wanaweza kuliingizia taifa kwa kulipa kodi na kutengeneza ajira kwa watanzania wengine wengi tu.
Embu serikali itafakari kwa kina namna muafaka ya kushughulikia hili suala na kuligeuza kama fursa
Kitu gani kinakufanya useme huungi mkono ? Bangi ni fursa sio uongo aisee . Embu tuache imani potofu kuhusu bangi ni kitu chema mnoo kwa wanaoelewa. Tena bangi ni nzuri kuliko pombe mara mia
Kwa nini wavae uhalisia. Hapa wanazungumzia export sio kutumia. Tena ili ulime lazime uwe na leseni. Cha ajabu nini.Kabla hujafikiria kwamba bangi ni fursa vaa uhalisia wa mwanao kutumia bangi....fikiria ile feeling deep down unasikia mwanao anatumia
Kwa nini wavae uhalisia. Hapa wanazungumzia export sio kutumia. Tena ili ulime lazime uwe na leseni. Cha ajabu nini.
Utafurahi kumona mwanao anavuta sigara? Je, utafurahi ukimwina anakunywa pombe? Mbona vinaruhusiwa.
Hapa inazungumziwa export ya bangi. Nukta.
Sent using Jamii Forums mobile app
vuguvugu la siasa hilo, msukuma kakiwashaBangi ikihalarishwa bei itapungua, hivyo serikali iendelee kuiwekea ngumu zao hilo ili wachache ndo wanufaike wenye roho ngumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
dah uko negative sana mkuu ingia google jaribu kusearch at least nusu saa kuhusu weed then utakuwa positive kidogo bangi haina mathara ukikata uthibitisho wa kidaktari upo na athara za pombe ni kubwa kuliko pombe kwanza kwa tz 50% ya wananchi wanaokunywa pombe familia zao ni basi tu pombe inatesa inazungusha watu barabarani mla kaya yoyote huwezi mkuta ana tapa tapa na pemba kutofautisha mla weed na vibaka wanaovuta ili waibe na kumix na madawa asilimia 80% ya wavuta bangi tz huwezi wajua mpaka akuambie au uwe mdau mwenzie huwa tuna smoke smart san try to be somehow positive life is funny so cool downKwanini wasivae uhalisia?hiyo export inakoenda inaenda kutupwa ama?si wanaenda kutumia hawa hawa vijana na watoto ambao kimsingi wanaweza kuwa wa kwake?
Acha kuwa mbinafsi,kitu unachoona kina madhara kwako usimpe mwingine kwa kigezo cha kwamba hakikuhusu!
Na ni ujinga wa kiwango cha PhD kulinganisha anayetumia bangi na pombe,labda kama hujawahi kuishi na wavuta bangi. Nukta
dah uko negative sana mkuu ingia google jaribu kusearch at least nusu saa kuhusu weed then utakuwa positive kidogo bangi haina mathara ukikata uthibitisho wa kidaktari upo na athara za pombe ni kubwa kuliko pombe kwanza kwa tz 50% ya wananchi wanaokunywa pombe familia zao ni basi tu pombe inatesa inazungusha watu barabarani mla kaya yoyote huwezi mkuta ana tapa tapa na pemba kutofautisha mla weed na vibaka wanaovuta ili waibe na kumix na madawa asilimia 80% ya wavuta bangi tz huwezi wajua mpaka akuambie au uwe mdau mwenzie huwa tuna smoke smart san try to be somehow positive life is funny so cool down
Sent using Jamii Forums mobile app