bucho
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 5,149
- 3,209
Kiukweli ni muda muafaka kwa Serikali kuruhusu bangi ilimwe na kuuzwa atleast kwa watu maalum wenye magonjwa yasiotibika na watu wenye mahitaji maalum.
Vilevile pia kuna soko kubwa sana nje ya nchi kwa walimaji wa bangi ambao wanaweza kuliingizia taifa kwa kulipa kodi na kutengeneza ajira kwa Watanzania wengine wengi tu.
Embu Serikali itafakari kwa kina namna muafaka ya kushughulikia hili suala na kuligeuza kama fursa
Mambo yanabadilika na watu watu tunabadilika.