Muda muafaka kwa Serikali kuruhusu bangi

Muda muafaka kwa Serikali kuruhusu bangi

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,149
Reaction score
3,209
Kiukweli ni muda muafaka kwa Serikali kuruhusu bangi ilimwe na kuuzwa atleast kwa watu maalum wenye magonjwa yasiotibika na watu wenye mahitaji maalum.

Vilevile pia kuna soko kubwa sana nje ya nchi kwa walimaji wa bangi ambao wanaweza kuliingizia taifa kwa kulipa kodi na kutengeneza ajira kwa Watanzania wengine wengi tu.

Embu Serikali itafakari kwa kina namna muafaka ya kushughulikia hili suala na kuligeuza kama fursa

Mambo yanabadilika na watu watu tunabadilika.
 
Kwa jinsi walivoongea bungeni, sidhani kama itachukua muda mrefu kuruhusu.

Na iuzwe kwa yeyote anaehitaji kama pombe inavouzwa tu madukani.
Kiukweli ni muda muafaka kwa serikali kuruhusu bangi ilimwe na kuuzwa atleast kwa watu maalum wenye magonjwa yasiotibika na watu wenye mahitaji maalum.

Vilevile pia kuna soko kubwa sana nje ya nchi kwa walimaji wa bangi ambao wanaweza kuliingizia taifa kwa kulipa kodi na kutengeneza ajira kwa watanzania wengine wengi tu.

Embu serikali itafakari kwa kina namna muafaka ya kushughulikia hili suala na kuligeuza kama fursa

Sent using Redmi Y2
 
Kitu gani kinakufanya useme huungi mkono ? Bangi ni fursa sio uongo aisee . Embu tuache imani potofu kuhusu bangi ni kitu chema mnoo kwa wanaoelewa. Tena bangi ni nzuri kuliko pombe mara mia

Kabla hujafikiria kwamba bangi ni fursa vaa uhalisia wa mwanao kutumia bangi....fikiria ile feeling deep down unasikia mwanao anatumia
 
Kabla hujafikiria kwamba bangi ni fursa vaa uhalisia wa mwanao kutumia bangi....fikiria ile feeling deep down unasikia mwanao anatumia

Mbona sio shida at all .... bangi haina madhara kama unavyofikiria swry .. ni imani chafu tuu kwa wananchi joanah
 
Kabla hujafikiria kwamba bangi ni fursa vaa uhalisia wa mwanao kutumia bangi....fikiria ile feeling deep down unasikia mwanao anatumia
Kwa nini wavae uhalisia. Hapa wanazungumzia export sio kutumia. Tena ili ulime lazime uwe na leseni. Cha ajabu nini.
Utafurahi kumona mwanao anavuta sigara? Je, utafurahi ukimwina anakunywa pombe? Mbona vinaruhusiwa.

Hapa inazungumziwa export ya bangi. Nukta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wasivae uhalisia?hiyo export inakoenda inaenda kutupwa ama?si wanaenda kutumia hawa hawa vijana na watoto ambao kimsingi wanaweza kuwa wa kwake?
Acha kuwa mbinafsi,kitu unachoona kina madhara kwako usimpe mwingine kwa kigezo cha kwamba hakikuhusu!

Na ni ujinga wa kiwango cha PhD kulinganisha anayetumia bangi na pombe,labda kama hujawahi kuishi na wavuta bangi. Nukta
 
Kiukweli bangi haina shida kama watu wanavyoongea... bangi ni mmea mmoja mtakatifu wenye matibabu ndani yake
 
Serikali inatakiwa kuruhusu bangi/mirungi/shesha/pub na starehe kua 24/7. Ili kufufua mzunguko wa biashara na hela. Raia wana stress na wanazuiwa kutoa ya moyoni (ila siku wakichoka na kuyatoa hadharani, basi tutatafutana).

Nchi imelala, hakuna kazi, hakuna ajira, hakuna mzunguko wa hela.
 
Bangi ihalalishwe bana! Navuta mwaka wa ishirini huu sijaona madhara,licha ya kuvuta tu natumia pia Kama dawa
 
Kwanini wasivae uhalisia?hiyo export inakoenda inaenda kutupwa ama?si wanaenda kutumia hawa hawa vijana na watoto ambao kimsingi wanaweza kuwa wa kwake?
Acha kuwa mbinafsi,kitu unachoona kina madhara kwako usimpe mwingine kwa kigezo cha kwamba hakikuhusu!

Na ni ujinga wa kiwango cha PhD kulinganisha anayetumia bangi na pombe,labda kama hujawahi kuishi na wavuta bangi. Nukta
dah uko negative sana mkuu ingia google jaribu kusearch at least nusu saa kuhusu weed then utakuwa positive kidogo bangi haina mathara ukikata uthibitisho wa kidaktari upo na athara za pombe ni kubwa kuliko pombe kwanza kwa tz 50% ya wananchi wanaokunywa pombe familia zao ni basi tu pombe inatesa inazungusha watu barabarani mla kaya yoyote huwezi mkuta ana tapa tapa na pemba kutofautisha mla weed na vibaka wanaovuta ili waibe na kumix na madawa asilimia 80% ya wavuta bangi tz huwezi wajua mpaka akuambie au uwe mdau mwenzie huwa tuna smoke smart san try to be somehow positive life is funny so cool down

Mkuu,mimi nimekuwa negative kuhusu matumizi ya bangi...lazima watakuwepo wenye positive thoughts kuhusu bangi

Subiri waje
 
Back
Top Bottom