Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 758
- 1,819
Haya mambo ni kufa kufaana!
Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa!
Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe)
Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau!
Wote hawawezi kupata fursa ya overtime NONO kama ambayo wamelipwa waliompeleka HECHE MARA!