THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #41
Watu wanapenda ubishi tu mkuuTayari yamashaibuka huko juu.......kwamba kwa yeye takwimu sio kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanapenda ubishi tu mkuuTayari yamashaibuka huko juu.......kwamba kwa yeye takwimu sio kitu
Umekuja na kitu kingine kabisa ambacho hakiingii hapa mkuu.Naomba kujua market value ya Benzema na Suarez tufunge uzi
Nimeuliza ivo kwa kuwa luis suarez na KB9 wote ni wazaliwa wa mwaka 1987 nataka tuanzie hapo na wote wanecheza soka la ulaya mashindano ya club ulaya na ligi ya uhispania.Umekuja na kitu kingine kabisa ambacho hakiingii hapa mkuu.
Yani uulize Market Value ya saiv ya
Ronaldo na Kane?
Yani Ronaldo kashazeeka vile ana staafa unauliza market value unataka ku compare na mtu anaecheza kama Kane?
Ndio hicho kwa Benzema na Suarez.
Suarez katoka Lini Ulaya?
Leo unataka kuulizia Market Value dhidi Ya mtu alietoka Juzi Ulaya?
Hoja ya market value ni uboya acha kuwaza ujinga.Nimeuliza ivo kwa kuwa luis suarez na KB9 wote ni wazaliwa wa mwaka 1987 nataka tuanzie hapo na wote wanecheza soka la ulaya mashindano ya club ulaya na ligi ya uhispania.
Nikukumbushe tuu UMRI WA MODRIC na umri wa iniesta ni sawa kabisa.
Meishasema muda, basi zama ziheshimiwe.Ukiwa unatamba huko kuwa Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone na wewe unajua Mpira, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula nyama za watu kuwa; huyu ndie Straika la Boli aliyetwaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina), na huyu ndie alieinyima furaha Afrika pale kwa Madiba mwaka 2010 🇺🇾.
Sema muda ndio umemchagua Big Benz ila sio takwimu.
Upi mtazamo wako?
View attachment 2665204
Hana deni Ulaya yeye alimaliza kazi yake mapema, KARIM alisubiri watoke wakubwa ndio awe mkubwa.Hv yuko wapi huyu suarez siku hz?!!! Anaendeleaje na ufungaji?
Jmaa ni Predator kwelikweliSuarez kuna bao takatifu aliwafunga Arsenal pale Nou Camp, nilizima tv aisee. Yule jamaa ni muuaji.
Kaka muache😂Hoja ya market value ni uboya acha kuwaza ujinga.
Ukiwa unatamba huko kuwa Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone na wewe unajua Mpira, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula nyama za watu kuwa; huyu ndie Straika la Boli aliyetwaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina), na huyu ndie alieinyima furaha Afrika pale kwa Madiba mwaka 2010 [emoji1257].
Sema muda ndio umemchagua Big Benz ila sio takwimu.
Upi mtazamo wako?
View attachment 2665204
Umeandika vitu vya ajabu tu sijui haujawai watazama!! suarez na benzema hawatofautiani uchezaji wao wote wanaweza kucheza kutokea pembeni, wanaweza kucheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho na pia wote wanaweza kucheza striker wa mwisho namba 9.Benzema ni false nine meanwhile suarez ni natural nine.
Mbingu na ardhi unajaribu kuzilinganisha mkuuu.
Kama KB9 angeamua kusimama kama natural nine pasi angemuacha suarez mbali sana.
Muache tu jamaa yeye kishabiki na sio uhalisia, suarez alivoenda barca ndo akaanz kucheza zaid kama natural nine ila alivokuwa Liverpool yeye ndo alikua kila kitu pale mbele skills,speed, kufunga na alikua team ya kawaida tu.Unamjua Suarez wa livapuli wewe?
Ni kweli kabisa suarez ni msumbufu sana na king'ang'anizi ndani ya box kuliko benzemaMimi ni mpenzi wa La Liga, sijaacha kuitazama Madrid ikicheza La Liga na UCL pamoja na Barca.
Wote wakiwa ktk timu zao walipoingia nimeanza kuwatazama. Sio Benzema wala Suarez.
Benzema huenda makali yake tungeyaona endapo Ronaldo asingekuwa mbinafsi, jukumu la kufunga lingekuwa kwake huenda tungeona makali kutoka kwake zaidi.
Ila kwa sasa jinsi hali ilivyo, Suarez ni moto mwingine. Suarez ni killer akiwa ndani ya Box, Suarez ni fighter haswa anapokuwa ktk mazingira ya timu yake kutafuta goli, hakuna beki anayerelax akijua anamkaba Suarez. Hizi sifa zote sio za kutisha kwa Benzema.
Ukiwa unatamba huko kuwa Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone na wewe unajua Mpira, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula nyama za watu kuwa; huyu ndie Straika la Boli aliyetwaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina), na huyu ndie alieinyima furaha Afrika pale kwa Madiba mwaka 2010 🇺🇾.
Sema muda ndio umemchagua Big Benz ila sio takwimu.
Upi mtazamo wako?
View attachment 2665204
[emoji3][emoji3][emoji3] sasa unaanza kutupanga mkuu, Suarez alipokuwa Ajax ni msimu mmoja tu ndio alifika goli 35 na katika msimu huo alifunga Jumla ya magoli 49 Katika mashindano yote,Usisahau Ajax Amsterdam alipoanzia soka lake la ulaya kila msimu ALIKUWA anapiga 30-35goals kwa misimu mitatu mfululizo ndio Liverpool wakamsajili
Daah!!!Mnaona gere kwa kuwa ni Muislam tu.
Hamna lolotte zqaidi ya hilo, handsome ndiyo kishabea ubora, mwambieni huyo mnaemtaka ajitahidi msimu ujao.
Ma shaa Allah, Karim.
Mkuu ndio umeanza kumfahamu Leo huyo Bibi Faiza?Daah!!!
Yaani upo na mtazamo kiwango hiki? Sitaki kuamini aisee.