Muda ni Mwalimu mzuri sana: Siasa ni kama upepo, hubadilika wakati wowote

Mtanzania wa kawaida hajui hata analipaje kodi kwenye kila bidhaa.

Hajui hata deni la taifa likikua lina impact gani kwenye maisha ya kawaida

Mtanzania wa kawaida hajali mtoto au mjukuu wake ataishije ili mradi kuna uwezekano wa kula milo miwili na kulala kwenye nyumba ya mbavu za mbwa. Kiufupi umaskini unamfanya mtanzania aishi hand to mouth kwa hiyo ni ngumu kuifikiria demokrasia ama macro problems ilhali tumbo ni tupu

Mtanzania wa kawaida anafikiri kazi ya serikali ni kutoa basic social services tena kwa ihsani na si kwa kufikiri ni haki yao, kutokana na utaifa na kodi zao "naomba serikali itusaidie kupata maji"

Mtanzania wa kawaida anaangalia kitu kinachomuathiri directly ndio maana kunaripoti ya CAG haikuwauma kama kuchomwa vituo vya mwendokasi na wakati, hizo pesa zinazopotea zinatosha kujenga vitu na kushusha bei ya usafiri mkoa mzima

Kiufupi mtanzania ni mtu unaetakiwa kuongea nae kama hajui anachokitaka na umtafunie kwa lugha nyepesi inayoakisi maisha yake.

Hiki ndicho kiini cha mafanikio ya Magufuli na Mange Kimambi. Wanaweza kuiongea lugha ya maskini kwa ufasaha hata kama wao wanaishi kwenye mansion
Lugha nyepesi ndiyo inayomfanya Heche aogopwe zaidi kufanya mikutano kuliko Lisu. Lisu, huzungumza na tabaka la wasomi, wanaofikiria kesho. Heche anaelezea leo ya watu wa chini inavyoharibiwa.
Nimechomekea tu hapo.
 
  • Hakuna sababu ya KUPORA UCHAGUZI wa kitongoji au DIWANI.
  • Hakuna sababu ya kuzoa majitu ambayo taswira zao kwa umma ni mbaya ,umayapa vyeo
  • Hakuna sababu ya kuteka mpaka watu wasio na madhara
  • Hakuna sababu ya kujaza bungeni wake mpaka watoto wa vigogo
  • Hakuna sababu ya kukata kila mgombea
Duuh
 
Mwaka 2024 ungefanya majadiliano na makada wa CCM na Maafisa Usalama wa Tanzania kwamba kuna siku watanganyika wanaweza kufanya vurugu za kutisha, na serikali kufanya mauaji makubwa ya kutisha kwa raia wake, wanufaika wakubwa wa mfumo kama Kikwete, Rostam, Harbinder, pamoja na walinda malango wa mfumo kama Mkuchika, Luhavi, Mombo, Sirro, Mafwele, Nkunda, Makonda na wengine wangekucheka na hata kukuita mwendawazimu. Hayo mambo yaliaminika ni ya Rwanda, Kongo, Somalia, Kenya, Burundi na Sudan, sisi watanzania amani ni haki yetu ya kuzaliwa hivyo hayawezi kabisa kutokea.

Mwaka 2020 ungeonana na kina Humprey Polepole, Bashiru Kakurwa, John Kijazi, Diwani Msuya na wafuasi wao wengine, na kuwaambia kwamba huu uchaguzi ambao mnatumia nguvu sana kuuvuruga na hii mifumo mnayoitengeneza itakuja kuwaumiza na Raisi Magufuli hawezi kuvuka 2021 ungeonekana Mwendawazimu. Nakumbuka mwaka 2019 kuna Mzee aliwahi kuniambia kwamba Uchaguzi wa 2020 hautakuwa na vurugu kwasababu pande zote hasimu zina cha kupoteza, na wanafahamu fika kwamba wakilianzisha basi wanaweza wakamshindwa JPM kwasababu alikuwa ni mtu asiyeogopa kumwaga damu. Raisi kufia madaraka ni jambo ambalo Tanzania lilikuwa haliwaingii kabisa kichwani watawala, zaidi-zaidi raisi kufariki kwa kifo chenye utata. Ugonjwa mkali kuwaruka watu wa MBAGALA na kumfikia yeye aliyekuwa kwenye SAFE-ZONE QUARANTINE.

Aliniambia vita ya JPM itakuwa baada ya uchaguzi, wakati ametulia, amejisahahu na kudhani kwamba ameshashinda kabisa vita hapo ndipo atashambuliwa vibaya. Huu ni wakati mzuri kwasababu joto la uchaguzi huwa linakuwa limeshuka na kile kohoro na kimuhemuhe cha ushindi kinakuwa kimewakaa watawala kichwani. Kama ambavyo alisema Shakespeare "Beware of the Odes of March" JPM alichomoka, na hakuna aliyeamini mpaka leo. Mimi niliposikia nikaona labda huyu Mzee anasema tu, lakini yalipotokea alikaa kimya na katika kumuuliza kwangu hajajibu mpaka leo kama hakuwahi kuongea na mimi. Nilifahamu kwamba kuna watu WAKO MBELE YA MUDA.

=============================================================================
Kuna msemo uko kwenye kitabu cha "The Art of War" ambapo Sun Tzu aliandika hivi "After Crossing the river, you should get far away from it". Jambo ambalo MAMA YENU na wenzake halijawaingia vizuri kichwani. Wameshavuka mto, lakini bado wamejenga mahema kwenye ukingo wa mto.

Mwaka 2021, mwezi MAY, ungemfuata Membe, Makamba, January, Nape, Rostam, Ridhiwani, Kikwete na kuwaambia kwamba kufika MAY 2026, watu wataikumbuka Tanzania na JPM na kutamani hata ule ukatili wake urudi kuliko hii serikali yenye matumanini ambayo imegeuka kuwa serikali inayochukiwa na kudharaurika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, sidhani kama kuna mtu angeamini. Ungemwambia Membe na January, binadamu ambao walikuwa na tamaa kali ya Uraisi wa JMT, kwamba miaka michache ninyi mtageuka kuwa wahanga wa hii serikali ambayo mnaamini uwepo wake ni tiketi zenu kisiasa, basi wangekuona una wazimu na kichaa. Membe na Makamba, walivuka mto, lakini bado wakajenga mahema kwenye ukingo wa mto (YAKAWAKATUKA WOTE)

Wachache ndani na nje ya mfumo mbali na kumchukia JPM, walipovuka mto waliondoka kabisa lile eneo na kufahamu hatari yake. Marehemu Lukuvi mbali na madhaifu yake, alikuwa moja kati ya watu waliousoma mchezo wiki chache tu baada ya JPM kufa, kwamba nchi inaenda kupoteza mwelekeo. Mbali na ujehuri (Kidada cha kihehe), tamaa za kupenda fedha na roho ya choyo, Lukuvi was an extemely competent and effective bureaucrat. He understood how systems work. Alifahamu fika kwamba MAMA YENU is a bad Gambit. Alivuka mto, akaenda mbali ya ukingo, lakini tamaa zikamrudisha pale-pale. Angekuwa na hekima angestaafu, maana alikuwa na ukwasi, heshima na mali. (YAKAMKUTA)

Mwingine ni Tundu Lissu, alimsoma MAMA YENU mapema kabisa na kumpa jina Malkia Mdanganyifu Mwenye Maneno Mazuri. Aliingia kwenye mtafaruku mkali, lakini huyu ni moja kati ya binadamu wachache mno hapa nchini Tanganyika mwenye uwezo wa kuyatazama mambo kama yalivyo, hata kama ni machungu. Hii sifa watanganyika asilimia 99% hawana. Bwana amevuka mto, na akaondoka kwenye ukingo. Mpaka sasa kuna jitihada za kumrudisha ukingoni lakini hazijafanikiwa.

Mwezi April 2022, akipokelewa Marekani na wabunge na msululu mkubwa wa vigogo wa dunia, MAMA YENU ungemwambia kwamba kuna siku hawa hawatataka kuzungumza nawewe asingekuamini. Marekani alipokelewa na Makamu wa Raisi Kamala Harris kwa bashasha na upendo. Kwenye mkutano wa WTO na IMF alipokelewa na Kristalina Gorgieva kwa kumbato kubwa la upendo. Akapokelewa na Ngozi Okonjo-Iweala kwa furaha kubwa mno. MAMA YENU, wafuasi wake na dunia ikaamini kwamba yeye ni viwango vya kina Kamala Harrs, Kristalina Gorgieva, Ngozi Okonjo-Iweala na Mia Motley. Lakini mwaka 2026 inakuwa ngumu kuamini kwamba MAMA YENU yuko kiwango kimoja na wahuni wa ukanda huu kama Rutto, Musseveni, Kagame, Munangagwa na Tinubu.

===================================================================================
Jambo ambalo wenzetu wa Magharibi walipewa NEEMA NA MUNGU kulichunguza, kulifahamuni, kulielewa na kuliheshimu sana ni suala zima linaloitwa MUDA. Hii ni rasilimali ya bure ambayo hairudi mara mbili. Hii rasilimali huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO (Changes). Kitaalamu hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupinga mabadiliko. Awe MWEMA au Awe MBAYA, lazima atakutwa na MABADILIKO.

Wenzetu wazungu walichotushinda ni hapa tu: NIDHAMU KWENYE MUDA, kwasababu wanafahamu muda huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO katika nyanja zote za maisha: Binafsi, Kijamii, Kisiasa, Kiroho, Kiuchumi na Kitamaduni. Hivyo basi kuweza kukabiliana na MABADILIKO yanayoletwa na MUDA, wenzetu wakabuni kitu kinaitwa MPANGO MKAKATI (STRATEGIC PLANNING). Wenzetu walifahamu kwamba hawawezi kuzuia MABADILIKO lakini wanaweza kuyaratibu (MANAGE). You cannot stop changes, but you can manage and mitigate them.
================================================================================

Tanzania tumefika hapa tulipo kwasababu ya haya yafuatayo:
1. Hatutambui kwamba MUDA (An Independent Unit) ni rasimali inayoshikilia rasilimali zote.
2. Hatuukomboi MUDA/WAKATI (Sisi ni bora liende, ponda mali kufa kwaja)
3. Mabadiliko yanayoletwa na MUDA/WAKATI huwa yanatukuta tumelele usingizi wa pono.
4. Tunaamini kwamba utajiri wa nchi ni rasilimali watu na rasimali asilia pekee.
5. Hatufahamu kwamba, kama binadamu taifa nalo lina MUDA wa kuishi na kufariki.

Ndiyo maana wenzetu baada ya kufahamu haya, wakaanzisha taasisi za PREDICTIVE SCIENCES ambazo zina wataalamu ambao kazi yao kubwa ni kuweza kutengeneza PREDICTIVE MATHEMATICAL MODELS zilizojikita kwenye Wealth (Economy), Health and Weather ambayo wanasayansi wanaviita viashiria vikubwa mno vya maisha ya binadamu kwa miaka ijayo. Mwaka 2007, Prof David Orrell alindika kitabu kiitwacho
"Apollo's Arrow: The Science of Prediction and The Future of Everything" ambacho kimechambua vitu vingi sana na kuonesha jinsi gani MABADILIKO yanaweza kumvamia binadamu hata yule ambaye amejipanga vizuri kwa kutaka kutabiri nini kitatokea.

Hichi kitabu kilileta ushawishi mkubwa sana nchini Marekani, hadi kupelekea baadhi ya vyuo vikuu na taasisi kukifundisha kama kozi maalumu na hata baadaye idara nyeti za nchi zikaanza kufuatilia mapendekezo yake. Ukweli mchungu hata ambao Proff David Orrell anasema kuhusu MABADILIKO ni kwamba huwa hayagondi hodi. Akitolea mifano mingi kama Venezuela ya Hugo Chavez na majanga ya hali ya hewa yaliyoikumbwa nchi hiyo mwaka 2001. Kitu kama hichi msomi Philipp Coggan ambaye ni mchumi na mwandishi wa habari nguli kutoka The Financial Times/The Economist anasema kwamba huwezi kubashiri uchumi kwa asilimia 70% sahihi, mabadiliko huja bila hodi.
=================================================================================

Hivyo nini kifanyike hata kama hatuwezi kubashiri kwa usahihi nini kitakachotokea ???

Ni lazima tujipange, ili MABDILIKO yakifika tusichanganyikiwe na kuleta taharuki. Watawala wasiokuwa na ufahamu na uelewa huwa wanajidanganya kwamba watazuia mabadiliko. Kilichotokea 29 OKTOBA 2025 ni sehemu ya mabadiliko. Bahati mbaya serikali haikujipanga endapo jambo kama lile lingetokea, ikaadhimu kuua watu wake kikatili kwasababu ilichanganyikiwa (Panicked) kwasababu ilikutwa imelela usingizi wa pono.

Hili la vikwazo limewakuta vibaya, mmelala kwenye ukingo wa mto. Sasa imetokea taharuki kubwa ambayo badala ya kupunguza tatizo, inaonesha wazi kabisa kwamba serikali haina mbinu mbadala zaidi ya kuhonga madini na rasilimali. Hatujajipanga, na tumelela kando ya mto.

Hebu fikiria ikatokea kweli Marekani imepitisha ule MUSWADA kuwa sheria. Tanzania mmejipanga namna gani kukabiliana na hizi changamoto ??? Binafsi nasema ombeni sana isitokeaa, maana ikitokea, sijui aiseeeh.

ENIWEI najua mada hii ni ngumu, lakini naamini wahusika wataelewa nachokisema.

Lakini ombeni sana maana yajayo yanafurahisha.

View attachment 3596335
​
Malcom as always umefanya uchambuzi mzuri.
Kama una pdf ya hicho kitabu tafadhari share.
My take on your article.
Kwa ufupi umesema ndani ya serikali hakuna statesmen wanaoweza kuona kesho ya matukio yaani predictive and analyst people ambao wanaweza ku anticipate actions and results. Yaani vitengo hakuna kazi wanafanya.
 
Huwa huji wala kuandika mara kwa mara kwenye jukwaa hili iwe ni komenti au kuanzishwa mada..

Lakini, ukitokeaga tu, basi huwa unakuja na hoja fikirishi sana, yenye uchambuzi na mtazamo wa kisomi kwelikweli..

Asante kwa andiko zuri. Mimi nimejifunza na kukuelewa vizuri sana..

Sijui hizi robots@Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Dr wa Manesi, Pascal Mayalla, Stroke and the likes kama wanaweza kusoma mpaka mwisho na kuielewa hii lecture kwa ufasaha...

Hawa wenzetu ni kama robots ambazo ziko programmed kutetea kila ujinga wa watawala..

Inawezekana hawawezi kukosoa. Lakini cha ajabu hawa wenzetu hata kushauri hawawezi...!

Oooh, God Yahweh, have mercy on us Lord...🙏🙏
"Hawawezi kukosoa hata kushauri hawawezi"
 
Baada ya kuupata uraisi kwa mujibu wa katiba Samia alipaswa kuukubali ukweli kwamba ndani ya CCM yake kuna ambao hawakufurahi. Hawa wamekuwa mwiba mchungu kwake.

Angekubali ukweli huo na aseme mapema kwamba hatagombea tena. Hii ingempunguzia joto ndani ya chama.

Baada ya hapo angechukuwa hatua za dhati za kuipatia nchi katiba mpya isiyo na ujanja wa kupenyeza vipengele vya kuilinda CCM.

Fursa nyengine nzuri aliipoteza alipopuuza ofa ya Lissu ya kuahirisha uchaguzi ili tuandike katiba mpya ikiambatana na sheria zitakazowapa haki sawa raia wote. Hapa angemaliza uraisi wake kwa utulivu na heshima.
Sio rahisi kihivyo. Wanamtandao wangemuwahi
 
Sijui hizi robots@Pascal Mayalla, and the likes kama wanaweza kusoma mpaka mwisho na kuielewa hii lecture kwa ufasaha...

Hawa wenzetu ni kama robots ambazo ziko programmed kutetea kila ujinga wa watawala..

Inawezekana hawawezi kukosoa. Lakini cha ajabu hawa wenzetu hata kushauri hawawezi...!

Oooh, God Yahweh, have mercy on us Lord...🙏🙏
Mkuu Pambich, The Palm Beach, kitendo cha kuniweka kwenye kundi la maroboti, sio kunitendea haki!.
Yaani na mimi umeniweka kwenye kundi la kutetea kila ujinga wa watawala!,
Please be honest,
Mabandiko yangu ya kulaani ujinga huwa huyaonagi?.
Mabandiko yangu ya kukusoa, huwa huyaonagi?,
Mabandiko yangu ya kushauri, huwa huyaonagi?.
P
 
Mwaka 2024 ungefanya majadiliano na makada wa CCM na Maafisa Usalama wa Tanzania kwamba kuna siku watanganyika wanaweza kufanya vurugu za kutisha, na serikali kufanya mauaji makubwa ya kutisha kwa raia wake, wanufaika wakubwa wa mfumo kama Kikwete, Rostam, Harbinder, pamoja na walinda malango wa mfumo kama Mkuchika, Luhavi, Mombo, Sirro, Mafwele, Nkunda, Makonda na wengine wangekucheka na hata kukuita mwendawazimu. Hayo mambo yaliaminika ni ya Rwanda, Kongo, Somalia, Kenya, Burundi na Sudan, sisi watanzania amani ni haki yetu ya kuzaliwa hivyo hayawezi kabisa kutokea.

Mwaka 2020 ungeonana na kina Humprey Polepole, Bashiru Kakurwa, John Kijazi, Diwani Msuya na wafuasi wao wengine, na kuwaambia kwamba huu uchaguzi ambao mnatumia nguvu sana kuuvuruga na hii mifumo mnayoitengeneza itakuja kuwaumiza na Raisi Magufuli hawezi kuvuka 2021 ungeonekana Mwendawazimu. Nakumbuka mwaka 2019 kuna Mzee aliwahi kuniambia kwamba Uchaguzi wa 2020 hautakuwa na vurugu kwasababu pande zote hasimu zina cha kupoteza, na wanafahamu fika kwamba wakilianzisha basi wanaweza wakamshindwa JPM kwasababu alikuwa ni mtu asiyeogopa kumwaga damu. Raisi kufia madaraka ni jambo ambalo Tanzania lilikuwa haliwaingii kabisa kichwani watawala, zaidi-zaidi raisi kufariki kwa kifo chenye utata. Ugonjwa mkali kuwaruka watu wa MBAGALA na kumfikia yeye aliyekuwa kwenye SAFE-ZONE QUARANTINE.

Aliniambia vita ya JPM itakuwa baada ya uchaguzi, wakati ametulia, amejisahahu na kudhani kwamba ameshashinda kabisa vita hapo ndipo atashambuliwa vibaya. Huu ni wakati mzuri kwasababu joto la uchaguzi huwa linakuwa limeshuka na kile kohoro na kimuhemuhe cha ushindi kinakuwa kimewakaa watawala kichwani. Kama ambavyo alisema Shakespeare "Beware of the Odes of March" JPM alichomoka, na hakuna aliyeamini mpaka leo. Mimi niliposikia nikaona labda huyu Mzee anasema tu, lakini yalipotokea alikaa kimya na katika kumuuliza kwangu hajajibu mpaka leo kama hakuwahi kuongea na mimi. Nilifahamu kwamba kuna watu WAKO MBELE YA MUDA.

=============================================================================
Kuna msemo uko kwenye kitabu cha "The Art of War" ambapo Sun Tzu aliandika hivi "After Crossing the river, you should get far away from it". Jambo ambalo MAMA YENU na wenzake halijawaingia vizuri kichwani. Wameshavuka mto, lakini bado wamejenga mahema kwenye ukingo wa mto.

Mwaka 2021, mwezi MAY, ungemfuata Membe, Makamba, January, Nape, Rostam, Ridhiwani, Kikwete na kuwaambia kwamba kufika MAY 2026, watu wataikumbuka Tanzania na JPM na kutamani hata ule ukatili wake urudi kuliko hii serikali yenye matumanini ambayo imegeuka kuwa serikali inayochukiwa na kudharaurika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, sidhani kama kuna mtu angeamini. Ungemwambia Membe na January, binadamu ambao walikuwa na tamaa kali ya Uraisi wa JMT, kwamba miaka michache ninyi mtageuka kuwa wahanga wa hii serikali ambayo mnaamini uwepo wake ni tiketi zenu kisiasa, basi wangekuona una wazimu na kichaa. Membe na Makamba, walivuka mto, lakini bado wakajenga mahema kwenye ukingo wa mto (YAKAWAKATUKA WOTE)

Wachache ndani na nje ya mfumo mbali na kumchukia JPM, walipovuka mto waliondoka kabisa lile eneo na kufahamu hatari yake. Marehemu Lukuvi mbali na madhaifu yake, alikuwa moja kati ya watu waliousoma mchezo wiki chache tu baada ya JPM kufa, kwamba nchi inaenda kupoteza mwelekeo. Mbali na ujehuri (Kidada cha kihehe), tamaa za kupenda fedha na roho ya choyo, Lukuvi was an extemely competent and effective bureaucrat. He understood how systems work. Alifahamu fika kwamba MAMA YENU is a bad Gambit. Alivuka mto, akaenda mbali ya ukingo, lakini tamaa zikamrudisha pale-pale. Angekuwa na hekima angestaafu, maana alikuwa na ukwasi, heshima na mali. (YAKAMKUTA)

Mwingine ni Tundu Lissu, alimsoma MAMA YENU mapema kabisa na kumpa jina Malkia Mdanganyifu Mwenye Maneno Mazuri. Aliingia kwenye mtafaruku mkali, lakini huyu ni moja kati ya binadamu wachache mno hapa nchini Tanganyika mwenye uwezo wa kuyatazama mambo kama yalivyo, hata kama ni machungu. Hii sifa watanganyika asilimia 99% hawana. Bwana amevuka mto, na akaondoka kwenye ukingo. Mpaka sasa kuna jitihada za kumrudisha ukingoni lakini hazijafanikiwa.
=============================================================================

Mwezi April 2022, akipokelewa Marekani na wabunge na msululu mkubwa wa vigogo wa dunia, MAMA YENU ungemwambia kwamba kuna siku hawa hawatataka kuzungumza nawewe asingekuamini. Marekani alipokelewa na Makamu wa Raisi Kamala Harris kwa bashasha na upendo. Kwenye mkutano wa WTO na IMF alipokelewa na Kristalina Gorgieva kwa kumbato kubwa la upendo. Akapokelewa na Ngozi Okonjo-Iweala kwa furaha kubwa mno. MAMA YENU, wafuasi wake na dunia ikaamini kwamba yeye ni viwango vya kina Kamala Harrs, Kristalina Gorgieva, Ngozi Okonjo-Iweala na Mia Motley. Lakini mwaka 2026 inakuwa ngumu kuamini kwamba MAMA YENU yuko kiwango kimoja na wahuni wa ukanda huu kama Rutto, Musseveni, Kagame, Munangagwa na Tinubu.

===================================================================================
Jambo ambalo wenzetu wa Magharibi walipewa NEEMA NA MUNGU kulichunguza, kulifahamuni, kulielewa na kuliheshimu sana ni suala zima linaloitwa MUDA. Hii ni rasilimali ya bure ambayo hairudi mara mbili. Hii rasilimali huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO (Changes). Kitaalamu hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupinga mabadiliko. Awe MWEMA au Awe MBAYA, lazima atakutwa na MABADILIKO.

Wenzetu wazungu walichotushinda ni hapa tu: NIDHAMU KWENYE MUDA, kwasababu wanafahamu muda huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO katika nyanja zote za maisha: Binafsi, Kijamii, Kisiasa, Kiroho, Kiuchumi na Kitamaduni. Hivyo basi kuweza kukabiliana na MABADILIKO yanayoletwa na MUDA, wenzetu wakabuni kitu kinaitwa MPANGO MKAKATI (STRATEGIC PLANNING). Wenzetu walifahamu kwamba hawawezi kuzuia MABADILIKO lakini wanaweza kuyaratibu (MANAGE). You cannot stop changes, but you can manage and mitigate them.
================================================================================

Tanzania tumefika hapa tulipo kwasababu ya haya yafuatayo:
1. Hatutambui kwamba MUDA (An Independent Unit) ni rasimali inayoshikilia rasilimali zote.
2. Hatuukomboi MUDA/WAKATI (Sisi ni bora liende, ponda mali kufa kwaja)
3. Mabadiliko yanayoletwa na MUDA/WAKATI huwa yanatukuta tumelele usingizi wa pono.
4. Tunaamini kwamba utajiri wa nchi ni rasilimali watu na rasimali asilia pekee.
5. Hatufahamu kwamba, kama binadamu taifa nalo lina MUDA wa kuishi na kufariki.

Ndiyo maana wenzetu baada ya kufahamu haya, wakaanzisha taasisi za PREDICTIVE SCIENCES ambazo zina wataalamu ambao kazi yao kubwa ni kuweza kutengeneza PREDICTIVE MATHEMATICAL MODELS zilizojikita kwenye Wealth (Economy), Health and Weather ambayo wanasayansi wanaviita viashiria vikubwa mno vya maisha ya binadamu kwa miaka ijayo. Mwaka 2007, Prof David Orrell alindika kitabu kiitwacho
"Apollo's Arrow: The Science of Prediction and The Future of Everything" ambacho kimechambua vitu vingi sana na kuonesha jinsi gani MABADILIKO yanaweza kumvamia binadamu hata yule ambaye amejipanga vizuri kwa kutaka kutabiri nini kitatokea.

Hichi kitabu kilileta ushawishi mkubwa sana nchini Marekani, hadi kupelekea baadhi ya vyuo vikuu na taasisi kukifundisha kama kozi maalumu na hata baadaye idara nyeti za nchi zikaanza kufuatilia mapendekezo yake. Ukweli mchungu hata ambao Proff David Orrell anasema kuhusu MABADILIKO ni kwamba huwa hayagondi hodi. Akitolea mifano mingi kama Venezuela ya Hugo Chavez na majanga ya hali ya hewa yaliyoikumbwa nchi hiyo mwaka 2001. Kitu kama hichi msomi Philipp Coggan ambaye ni mchumi na mwandishi wa habari nguli kutoka The Financial Times/The Economist anasema kwamba huwezi kubashiri uchumi kwa asilimia 70% sahihi, mabadiliko huja bila hodi.
=================================================================================

Hivyo nini kifanyike hata kama hatuwezi kubashiri kwa usahihi nini kitakachotokea ???

Ni lazima tujipange, ili MABDILIKO yakifika tusichanganyikiwe na kuleta taharuki. Watawala wasiokuwa na ufahamu na uelewa huwa wanajidanganya kwamba watazuia mabadiliko. Kilichotokea 29 OKTOBA 2025 ni sehemu ya mabadiliko. Bahati mbaya serikali haikujipanga endapo jambo kama lile lingetokea, ikaadhimu kuua watu wake kikatili kwasababu ilichanganyikiwa (Panicked) kwasababu ilikutwa imelela usingizi wa pono.

Hili la vikwazo limewakuta vibaya, mmelala kwenye ukingo wa mto. Sasa imetokea taharuki kubwa ambayo badala ya kupunguza tatizo, inaonesha wazi kabisa kwamba serikali haina mbinu mbadala zaidi ya kuhonga madini na rasilimali. Hatujajipanga, na tumelela kando ya mto.

Hebu fikiria ikatokea kweli Marekani imepitisha ule MUSWADA kuwa sheria. Tanzania mmejipanga namna gani kukabiliana na hizi changamoto ??? Binafsi nasema ombeni sana isitokeaa, maana ikitokea, sijui aiseeeh.

=================================================================================
ENIWEI najua mada hii ni ngumu, lakini naamini wahusika wataelewa nachokisema.

Lakini ombeni sana maana yajayo yanafurahisha.

View attachment 3596335
​
Mkuu umenena vema. Bi Tozo anatamani watanzania wote wauawe abake yeye mwenyewe na mwanaye Abdul na mumewe Hafidh. Ana roho ya kishetani sana huyu mama.
 
nielewacho ni kwamba muslims ni communists na communists ni wajanja sana, angalia tu jinsi kwa mf. mamdani alivyoshinda u-mayor wa New York City jamaa (mammdani ni muhindi/iranian) ila alikampeni kama muafrika na siyo indian/irani kwamba asili yake ni uganda na jina lake ni kwame (for real anaitwa kwame remmember kwame nkrumah?) ofcourse ni muongo hakuna muhindi anayeweza kuchukua jina la kiafrika si tunaishi nao hapa na tumekuwa nao ulishawahi kusikia hata mmoja ana jina la kibantu? sasa kwa nini mamadani kachukuwa jina la kiafrika? ni ili kupata black votes ambazo alizihitaji ili kushinda that's how smart communists are and muslims are communists. i.e wanajua jinsi ya kuishi tanzagiza, wanaendesha fatwa against non muslims huku waki-claim wao ni victims, ukiwa-call out wanakuita "mdini", they accuse you of what they are doing to you, clever tactic.

hivyo hii vita ni ngumu sana kwani muslims wako kisayansi zaidi na wamejipanga for last 100 years against the so called "mfumo Kristo" whereas adui wa muslims wala hata haelewi kama yeye ni adui anafikiri ni vita ya demokrasia, uhuru sijui vyama hivyo adui wa muslims yuko neutral na anajabu kuwa objective na hamjui adui yake lkn muslim anamjua adui yake na ame laser focus kummaliza.

mwisho wa siku muslims na communist (ndani ya commnunist kuna adui wa muslim pia hivyo adui wa muslim anamsadidia muslims kumamaliza adui wa muslim), after all said and done arabs, iranian, pakis wamemilikishwa uchumi wote, serikali imekopa deni la taifa limeongezeka kwa kasi ya ajabu fedha zilikoenda hatujui lkn ununuzi na uwekezaji wa kufuru unafanywa na muslims worth of hundreds of million of dollars (usd) ndani ya kipindi kifupi sana, hauna business wanayoweza ndani ya miaka 4 kuweza kufanya investments walizofanya.

mwenye financial musle ndiyo anayeshinda vita (mara nyingi), hivyo mwisho wa siku muslims ataishinda hii ngoma na kuanzisha caliphate in tanzagiza na road map ya caliphate tanzagiza tayari imeshawekwa, mambo mengi sana tayari yameshabadilihswa kuwa islamic au islam friendly ndani ya miaka 4 tu, what about 10 -2 0 years under islam.

wengi labda hawafahamu au hawalipi uzito sana hili swala lkn sasa hivi al kaida, isis na ilsamists wote waliokuwa middle east wamehamia afrika sahel region imegeuka middle east, hivyo vita kubwa islam vs civilized world inapiganiwa ndani ya afrika na tanzagiza ni islamic through through kupitia zanzibar na hiyo line inakwenda mpaka msumbiji.

wengi pia hawafahamu labda au hawajaambiwa ukweli, sababu kuu hasa ya Christians na kuja Afrika inayoitwa ukoloni ilikuwa ni to push back on islam, western Chnristians wamekuwa vitani against islami kuanzia kuanzishwa kwa islam karne ya 7, muslims walishachukuwa north afrika yote na west na ndiyo sababu ya unaoitwa ukoloni, ilikuwa ni kuzuia na kuikoa afrika na islamization, lkn kama kawaida communists anadanganya afrikans kwamba sijui ilikuwa ni unyonyaji mara ukoloni ndiyo to some extent lkn haikuwa sababu kuu kwa nini Christians walikuja kwetu, sababu KUU ilikuwa ni ku-fight na kuzuia spread of islam, hivyo muslims wako vitani ever since, rejea waziri wa tanzagiza alisema live kwamba ilipojengwa ikulu yetu ilikuwa madrasa kwanini alisema vile lengo ni nini? mwingine akasema bandari yetu mwarabu amerudia bandari yake, watu kama hawa wenye mawazo aina hii ndiyo mnafikiri mko nao pamoja kwenye mapambano kwamba wote mna nia na lengo 1 ? ,,,,
Mtu mzima unaonesha ujinga wako hata kuandika hujui, hakuna capitalization na hata hoja yenyewe ni perfect example ya mtu aliyekula conspiracy theories za Telegram na WhatsApp mpaka zikaharibu uwezo wa kufikiri logically. Unachanganya Islam, communism, India, Iran, New York politics, Al-Qaeda, ukoloni, Zanzibar, Sahel, na “civilized world” kama blender ya mtu aliyechanganya bangi na YouTube shorts.

Kwanza huyo Zohran Mamdani unamuita “Mamdani muhindi/iranian communist Muslim mastermind” . Jamaa ni Ugandan-born mwenye roots za South Asian family, na “Kwame” si conspiracy yako ya Marvel universe. East Africa especially Uganda na Tanzania historically zina majina za Kiafrika across communities kutokana na mazingira ya walikozaliwa. Lakini kwa sababu brain yako imeamua “Muhindi hawezi kuwa na jina la Kiafrika,” sasa umejenga entire geopolitical theory juu ya assumption zako za vijiweni.

Na hiyo line yako ya “Muslims are communists” ndiyo inachekesha zaidi. Communists historically waliua na kufunga dini INCLUDING Islam . Soviet Union, Maoist China, Albania walikuwa anti-religion kabisa. Islam na communism zina conflicting foundations economically and philosophically. Lakini wewe umeona watu wawili usiowapenda then ukaamua kuwafanya same thing. Hiyo ni intellectual bankruptcy.

Halafu hii victim complex yako ya “wanajiita victims huku wanafanya fatwa” inaonyesha hujawahi hata kusoma maana ya fatwa . Fatwa si death sentence ya Hollywood movies. Fatwa mara nyingi ni scholarly opinion ya kidini kuhusu issue fulani. Lakini wewe umelearn Islam kupitia memes za Facebook na headlines za Fox News-level paranoia.

Na hii fantasy yako ya “Muslims wamejipanga miaka 100 kuanzisha caliphate Tanzagiza”, bigot idiot touch grass! Tanzania ina Muslims na Christians tangu kabla hata state ya kisasa haijazaliwa. Watu wana biashara, ndoa, siasa, neighborhoods mixed for generations. Lakini kwa sababu Waarabu wamewekeza bandari au Wahindi wana biashara, ghafla umeona “secret Islamic takeover.” By your logic, Wachina nao wanaanzisha Chinese caliphate kwa sababu wana infrastructure projects Africa.

“Muslims wana financial muscle ndiyo wanashinda vita” kumbe sasa issue si theology, ni jealousy disguised as civilization theory . Ukiwaona watu wanafanikiwa biashara, instead ya kujifunza biashara unaanza kusema “they are organized to destroy us.” That’s loser mentality 101. Communities nyingi za Wahindi, Waarabu, na Pakistanis historically ziko biashara East Africa because walikuwa kwenye trade routes for centuries. History si conspiracy.

Halafu hii nonsense ya “ukoloni ulikuwa ku-save Africa from Islam” ndiyo imefika peak clownery. Europeans wenyewe waliandika wazi motives zao: resources, labor, trade routes, territorial control, imperial competition. Leopold hakwenda Congo “kuokoa civilization”; alienda kukata mikono za watu for rubber profits . British hawakuchora mipaka Africa sababu ya Yesu vs Muhammad anime battle. Walikuwa wanagawana wealth and power.

Na hii “civilized world vs Islam” rhetoric yako ni recycled post-9/11 propaganda ya watu wasioweza kutofautisha extremists na asilimia kubwa ya ordinary Muslims wanaotaka kula, kulipa bills, na kuishi maisha yao. Ukiwa intellectually serious, unaanalyze extremism kupitia geopolitics, failed states, foreign interventions, poverty, militia networks etc. Lakini wewe umeamua entire religion ya 2billion people ni hive mind ya secret conquest . Hiyo si intelligence; hiyo ni fear wrapped in pseudo-history.

Most embarrassing part ni confidence yako. Unaongea kana kwamba umeunlock hidden truth wakati actually una-repeat talking points za fringe internet boomers wenye profile picture za simba na bendera . Hakuna “laser-focused Islamic masterplan” hapa; kuna wewe kushindwa kuelewa dunia complex then brain yako inatafuta single villain wa kulaumiwa. Weak minds love simple enemies
 
Mkuu Pambich, The Palm Beach, kitendo cha kuniweka kwenye kundi la maroboti, sio kunitendea haki
Na mimi umeniweka kwenye kundi la kutetea kila ujinga wa watawala!, mabandiko yangu ya kulaani ujinga wa watawala huwa huyaonagi?.
Mabandiko yangu ya kukusoa, huyaonagi?,
Mabandiko yangu ya kushauri, huyaonagi?.
P
Chutama kaka.
 
asi
Mkuu fanya kutoa na effects matokeo kwetu sisi raia wa kawaida iwapo mswaada wa USA utapita. Tujue namna ya kujipanga mapema
hakuna cha kujipanga ghalika likikukuta nje sa safina ni kusubiri kuangamia tu
 
Back
Top Bottom