Muda ni protocol ya usafiri kwenye msiba wa Malkia, kila kiongozi angetumia usafiri wake kungekuwa na foleni

S
Aidha yatufurahishe ama la, tutayapokea maamuzi yoyote ya majaji kwa mikono miwili
Sema awamu hii hatuja ingia pm ya mtu kuomba kura tuliepuka solicit kwenye hili jambo. Ni wao tu watuone tuna.stahili ama.laah
 
Kumbuka huwa wanapanda ndege moja wakienda mikoani kwenye ziara,bus watapanda kwa route fupifipi wakiwa ma escot
Pia watanzania tuko mili 70 hata wakifa tutapata wengine tu
 
Issue sio kupanda basi huko. Kwanini wakiwa huku wanajua na misafara ya magari ya kifahari zaid ya 80. Huku nchi ni maskn sana
 
Wewe ni miongoni mwa wale waliokosa lishe bora na kupelekea akili kudumaa.

Mnashindwa kutofautisha kitu kidogo tu msiba na official state visit.
Mbona hata kwenye misiba kunakua na misafara ya magari zaidi ya 60
 
Issue sio kupanda basi huko. Kwanini wakiwa huku wanajua na misafara ya magari ya kifahari zaid ya 80. Huku nchi ni maskn sana
Hilo ni swali la muhimu sana na ni wao viongozi wanapaswa kujitathmini baada ya tukio hilo la Uingereza. Lakini hatupaswi kuwalaumu waliowapandisha mabasi, shughuli yenyewe ilikuwa ni kubwa na mamia ya viongozi, isingewezekana kuwa na msafara wa kila kiongozi. Ni muda wa sisi pangu pakavu kujitathmini. Nilimuona waziri wa fedha akiwa ziarani mkoa mmoja wa kanda ya ziwa, msafara mkubwa na mbwembwe kibao na wakati huko U.S.A waziri wa fedha anapanda ndege, economy class bila shida yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…