Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

Ukimaliza kuchagua ukampata, itakuwa zamu yako kuchaguliwa kwa kutumia vigezo vya uliyemchagua! Hutoboi,
Kama selection na tolerance vimakushinda, zaa tu, share cost za kulea, ishi single.
Huenda wewe ndio una tatizo lisilovumilika na wanawake.
 
Mkuu na haya mapumziko, nakushauri kuchukua udongo tengeneza wako
 
Mwanamke wa sifa ulizotaja hawezi kukubali mwanamme lofa una hela? Sifa zako wewe mbona hujaweka? Unaweza kuwa na makalio makubwa nk mwanamke akawa hataki

Halafu kuna kitu unajificha hujaongelea kuwa asiwe na ukimwi wewe una ukimwi nini?
 
Unaonaje ukimuumba Huyo mtu.Kama wewe sio muumbaji acha kuweka vigezo,wewe ni nani mpaka uwe na vigezo!
Jioea mwenyewe ndio utapata vigezo kwako mwenyewe.Kuna mtu mmoja tu aitwaye wewe,hakuna wewe nje ya wewe" No duality within and outside yourself" Wewe ni mmoja tu na hatupata mwingine nje yako.
The happy and hate is within yourself,you can decide to choose one btn the two.No one can make you happy except yourself, otherwise elude yourself for something which you will never get.
Finding some one with that criteria is like finding 'tomorrow'!!
Don't fool yourself no one has ever seen tomorrow!!!
 
Unataka malaika wewe. Kwa walioumbwa na Mungu hayupo mwenye vigezo vyako hivyo vyote labda uumbe wako.
 
Nilicho jifunza kwenye maisha haya kuna mda ukiwa serious sana hufanikiwa, vitu vzr kuna wakati vinakuja tu
 
Halafu watu wabaguzi bwn: we Msumbwa wa Runzewe unataka mchumba kutoka Kagera au chotara na Uhanda ili iweje!!!?? Mara ohh awe mrefu, we ni mrefu? kuna Msumbwa mrefu? Nambie....
 
Hiyo ni nzuri kama unaomba namba afu hata hauna mategemeo ya kupata, ukipata sawa ukikosa sawa.
 
Khaa! Unamasharti makali mkuu...haya kila la heri umpate mwenza wa maisha ila usisahau kwa akili zako huwezi mshirikishe Mungu yeye amjua zaidi mke mwema atakupatia...
Yaani nimecheka
Kumbe wanawake hawana shida
Shida NI yeye aisee
Mwache aendelee kuangalia mwenye hvyo vigezo aendelee kukomeshwa mkuu
Hadi kabila!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…