Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

Hivyo ni vigezo tu....kula hii "beautiful of women is behaviour,if no good behaviour,loves will destroy your mind"
 
Mm nilitaka hivyo vigezo lakin sikubahatika ila mungu akanipa mwanamke wa tofauti kabisa nataraji kufunga nae ndoa mwaka huu nakushauri tulia endelea kula ujana mungu atakupa sahihi kwako ukiforce utaumia tena
 
Back
Top Bottom