Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

Hahaha hutaki aliyezaa ***** ngoja wanyonyeshe waje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa vigeza vyako tafta sex dols wamekidhi vifungu vya mashti yako!!!
 
Ana mtoto, amelelewa kwa deko Sana
Kila mtu kuna kitu anakipenda uko sahihi kabisa kwenye vigezo vyako ila tu nikukimbushe.

1: wanawake wenye hivyo vigezo ni wachache sana na akiwa navyo basi atakuwa na udhaifu mwingine
2.wanawake wenye uhitaji kama wako wameshapitia mengi wanatamani kutulia wako 30-35
3: no 8, 9 itakusumbua kidogo unatakiwa ulegeze kidogo maana hata wewe una mapungufu
4: ilibidi uweke sifa zako maana hata humu wapo sio wote wanaweza kuongea humu.
5: usichague sana maana huyo ni mkeo sio mke wa show off.la muhimu akuheshimu wewe na ndugu zako. Na akupende mengine yote ni bonus.

All the best.
 
Thanks
 
Mkuu kuna uzi humu mwenzako anatukana wanawake wa Kagera wote, kisa mwwanamke wake mmoja wa Kagera tu kamsaliti.
 
Ww una sifa gani? Isiwe wale watu wanataka kula bata kila siku, wakati ni mzee wa buku buku tu
 

Broo naomba nikushauli kitu tena kwa umakini mkubwa sana

Ikoo hivi unaweza pata mwanamke ambae ana sifa zote unazozitaka lakini moyoni mwake akawa hajakupenda ila akajikuta anaolewa na wewe kwa sababu ya ndoa broo ninachokwambia utakuja kujizalishia maisha ya majuto na maumivu makali ktk maisha yako .........

Ushauli wangu kama unataka kuoa basi owa mtu anayekuelewa na anayekupenda
 
Dah,hyu mhaya wa wapi jaman afu anaishi nchi za nje(misifa hyo)ila nshomile ndugu yangu kwa staili yako ya kutafta mchumba basi jiandae kulia daily,ila naona vigezo vingi kiasi unanifanye nihis unamatatizo binafsi ila unaficha
 
Kutokana na story yako inaonekana una matatizo fulani fulani yalomfanya hyo bibie aingie mtini pole muyoza
 
Uandishi wako tu inaonyesha una dharau alafu ni mtu flani una ka ushamba flani ivi ambapo ni ngumu kupata mwanamke anayejielewa ila utapata danga ty. Pasi ya kusafiria nacho ni kigezo

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Kigezo hiki kimenishangaza sana.
Awe na wazazi wote wawili!
Kuna wengine hawajawahi kuwaona wazazi toka wanazaliwa hivyo hawana ruhusa ya kuolewa?

Ushauri...Omba sana Mungu akupe mke, mke mwema ni nani awezaye kumjua?
 
Hivyo vigezo vyote vya kutafuta mke tu?!!..chonga wako tu hutapata wa vigezo vyote hvyo..sijui awe mweusi,atoke uganda na rwanda duuu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…