Muda si mrefu najichoma moto, mambo yamekuwa sio poa

Muda si mrefu najichoma moto, mambo yamekuwa sio poa

Jilipue kwa petrol moto ukolee chap-chap
0032F983-E94A-4F1E-BF0A-CDB621F869DC.jpeg
 
Yaaanj haya mambo yasikie tu kwa mwenzio aiseee sio poa yaani zamani nilikuwa nasikia mtu akijinyonga nilihisi huyo jamaa ni mbwa tu na mjinga sasa mimi sasa kiukweli mie nimekulia kwenye familia ya kishua yaani kishua haswa unajua wa kishua mimi ni wa kishua haswa yaani wakishua haswaa yaani ni wakishua

Kiukweli mambo yanabadilika maishani nilifungua kampuni yangu uingereza,Nairobi, Gaborone na nchi karibu tano lakini leo ninavyokuambia kampuni yangu imepigwa pini nchi zote hizo kwa madeni na utakatishaji pesa yaani sio poa wakuu kwa hapa nilipo nimebakiwa nyumba zangu 6 tatu ziko upanga,2 masaki na nyingine zipo mbezi Beach kwa yusuph achilia mbali zingine zilizoko London,New York na Indiana na zingine ziko Dubai kiukweli nashindwa kupata peace of mind baada ya mtalaka wangu kutaka kulipwa fidia ya bilioni 30 baada ya kuachana yaani natamani kujihang ila njia sahihi ni kujichoma moto
Mtalaka wako ni raia wa wapi?
 
Mimi nina shida ya milioni tano tu niweze kuishi nisichoke na kufa . Wewe una mabilioni mali za mabilioni unataka kujiuwa kikatili mimi naomba milioni tano tu na wewe baki na milioni mia tu ufurahie maisha acha kujilinganisha jichukulie usha kufa na anayeishi ni mwingine uanze maisha mapya . Nakushauri utafikiri mimi sipo kwenye hali kama yako walahi depression isikie kwa wengine
 
Achilia vyote!

Muache akufilisi!

Anza upya na kile ulichobakiwa nacho!!

Jikabidhi KWA Mungu!

Tafuta kijana akuliwaze u relax!

Move on!!
 
Usijue ukidhani utapumzika,

Huko uendako ni kubaya kuliko Hali unayoipitia ikiwa utajiua,

Ulizaliwa uchi wa mnyama, Mali zisikupe mawazo.

Mungu akusaidie na kukuonyesha watu watakaopita nawe ktk nyakati hizi ngumu.

Amen
 
Back
Top Bottom