Muda si mrefu najichoma moto, mambo yamekuwa sio poa

Muda si mrefu najichoma moto, mambo yamekuwa sio poa

Yaaanj haya mambo yasikie tu kwa mwenzio aiseee sio poa yaani zamani nilikuwa nasikia mtu akijinyonga nilihisi huyo jamaa ni mbwa tu na mjinga sasa mimi sasa kiukweli mie nimekulia kwenye familia ya kishua yaani kishua haswa unajua wa kishua mimi ni wa kishua haswa yaani wakishua haswaa yaani ni wakishua.

Kiukweli mambo yanabadilika maishani nilifungua kampuni yangu Uingereza, Nairobi, Gaborone na nchi karibu tano lakini leo ninavyokuambia kampuni yangu imepigwa pini nchi zote hizo kwa madeni na utakatishaji pesa yaani sio poa wakuu kwa hapa nilipo nimebakiwa nyumba zangu 6 tatu ziko Upanga, 2 Masaki na nyingine zipo Mbezi Beach kwa yusuph achilia mbali zingine zilizoko London, New York na Indiana na zingine ziko Dubai kiukweli nashindwa kupata peace of mind baada ya mtalaka wangu kutaka kulipwa fidia ya bilioni 30 baada ya kuachana yaani natamani kujihang ila njia sahihi ni kujichoma moto.
Niachie hizo nyumba utazikuta [emoji3]
 
Dada jitahid kuongea na wanaMaabara watakutengenezea dawa nzuri ta kujiua in peace na wala sio kuhangaika hangaika. utanishukuru, maswala ya kujinyonga yamepitwa na wakati, kwa urahis wa kuhepusha umati kukushtukia jipige risasi ya kichwa, hautohis maumivu utaamka tayar umeshafika kwa Mungu
 
Yaani awahamishie matatizo matabibu?Huyo ni wa kufungwa kamba barabara.Atandikwe bakora nyingi za shingo na aonywe na aache kuwaza na kuandika ujinga.Bakora nyingi!
Mkuu
Mtu anayeongelea kujikatisha uhali su kukatisha uhai siyo jambo la kuchukulia poa.

Anwweza akawa ametoa boko lakini kwa kusema atajiua tayari simu ishaita kwenye masjala ya Ziraili.

Be patient na mtu mwenye msongo
 
Dada ana jina zuri
Ila akili yake sio nzuri au 🥹

[emoji38][emoji38][emoji38]
Tatizo wenye hayo majina nyuzi chache zinakua zimechomoka kichwani
Au nasema uwongo[emoji23]
 
Back
Top Bottom