Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Mimi nahisi ni wakiumeDada Felister ni mume wako kakusaidia kuandika hii thread au wewe ni wa kiume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nahisi ni wakiumeDada Felister ni mume wako kakusaidia kuandika hii thread au wewe ni wa kiume?
Changamoto sana.Huyu jamaa anakoroga watu akili.
Kuna uzi alianzisha jana wa kumnanga yule dada wa bank aliyeuawa..kwenye huo uzi alikuwa anaitwa MALCON B.
Sasa amebadilisha jina na kujiita FELISTER.
Waha huwa ni wife material ujue😂😂😂 unadhani sitaona?
Ana Vina saba vya utataAmefanyaje?
Huwajui eeeehWaha huwa ni wife material ujue
Wivu tenaHuwajui eeeeh
Hao ndio wala nauli zenu huko PM 😂😂😂😂Huyu jamaa anakoroga watu akili.
Kuna uzi alianzisha jana wa kumnanga yule dada wa bank aliyeuawa..kwenye huo uzi alikuwa anaitwa MALCON B.
Sasa amebadilisha jina na kujiita FELISTER.
Ujiko bhasi, kichwa imekuviimbaWivu tena
Mhh ni ww tuYaaanj haya mambo yasikie tu kwa mwenzio aiseee sio poa yaani zamani nilikuwa nasikia mtu akijinyonga nilihisi huyo jamaa ni mbwa tu na mjinga sasa mimi sasa kiukweli mie nimekulia kwenye familia ya kishua yaani kishua haswa unajua wa kishua mimi ni wa kishua haswa yaani wakishua haswaa yaani ni wakishua.
Kiukweli mambo yanabadilika maishani nilifungua kampuni yangu Uingereza, Nairobi, Gaborone na nchi karibu tano lakini leo ninavyokuambia kampuni yangu imepigwa pini nchi zote hizo kwa madeni na utakatishaji pesa yaani sio poa wakuu kwa hapa nilipo nimebakiwa nyumba zangu 6 tatu ziko Upanga, 2 Masaki na nyingine zipo Mbezi Beach kwa yusuph achilia mbali zingine zilizoko London, New York na Indiana na zingine ziko Dubai kiukweli nashindwa kupata peace of mind baada ya mtalaka wangu kutaka kulipwa fidia ya bilioni 30 baada ya kuachana yaani natamani kujihang ila njia sahihi ni kujichoma moto.
kuna nilichotaka kuandika ila baada ya kuona comment yako nimeghair,kumbe mtoa mada mpuuzi tu na atakua wa kiume huyuHuyu jamaa anakoroga watu akili.
Kuna uzi alianzisha jana wa kumnanga yule dada wa bank aliyeuawa..kwenye huo uzi alikuwa anaitwa MALCON B.
Sasa amebadilisha jina na kujiita FELISTER.
Sio chai,kajichoma tayari juzi Nairobi,na kesharudisha numberCHAI
Anarudisha namba ya nini?Aende nayo tu.Sio chai,kajichoma tayari juzi Nairobi,na kesharudisha number
Kairudisha Kwa aliyempa,apewe mwingine aje apambaneAnarudisha namba ya nini?Aende nayo tu.