Muda si mrefu najichoma moto, mambo yamekuwa sio poa

Mtalaka wako ni raia wa wapi?
 
Mimi nina shida ya milioni tano tu niweze kuishi nisichoke na kufa . Wewe una mabilioni mali za mabilioni unataka kujiuwa kikatili mimi naomba milioni tano tu na wewe baki na milioni mia tu ufurahie maisha acha kujilinganisha jichukulie usha kufa na anayeishi ni mwingine uanze maisha mapya . Nakushauri utafikiri mimi sipo kwenye hali kama yako walahi depression isikie kwa wengine
 
Achilia vyote!

Muache akufilisi!

Anza upya na kile ulichobakiwa nacho!!

Jikabidhi KWA Mungu!

Tafuta kijana akuliwaze u relax!

Move on!!
 
Usijue ukidhani utapumzika,

Huko uendako ni kubaya kuliko Hali unayoipitia ikiwa utajiua,

Ulizaliwa uchi wa mnyama, Mali zisikupe mawazo.

Mungu akusaidie na kukuonyesha watu watakaopita nawe ktk nyakati hizi ngumu.

Amen
 
Shida sio ID ya kike mkuu, yeye ni wa kike sasa?
Au she is him[emoji23]
Huyu nahisi atakuwa wakike, ila ameamua kujitoa ufahamu tu.

Japo mwandiko unamkataa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…