Muda si mrefu najichoma moto, mambo yamekuwa sio poa

Yaaanj haya mambo yasikie tu kwa mwenzio aiseee sio poa yaani zamani nilikuwa nasikia mtu akijinyonga nilihisi huyo jamaa ni mbwa tu na mjinga sasa mimi sasa kiukweli mie nimekulia kwenye familia ya kishua yaani kishua haswa unajua wa kishua mimi ni wa kishua haswa yaani wakishua haswaa yaani ni wakishua

Kiukweli mambo yanabadilika maishani nilifungua kampuni yangu uingereza,Nairobi, Gaborone na nchi karibu tano lakini leo ninavyokuambia kampuni yangu imepigwa pini nchi zote hizo kwa madeni na utakatishaji pesa yaani sio poa wakuu kwa hapa nilipo nimebakiwa nyumba zangu 6 tatu ziko upanga,2 masaki na nyingine zipo mbezi Beach kwa yusuph achilia mbali zingine zilizoko London,New York na Indiana na zingine ziko Dubai kiukweli nashindwa kupata peace of mind baada ya mtalaka wangu kutaka kulipwa fidia ya bilioni 30 baada ya kuachana yaani natamani kujihang ila njia sahihi ni kujichoma moto
Huna kazi ya kufanya? Tafuta kazi Acha kupoteza muda kuandika maupupu km haya
 
Aliye karibu na felister pls amuwahishe hospitali.

Msongo huwa unaleta mauaji pia
 
Basi utakuta maisha halisi ya mtoa mada ni choka mbaya haswaa yaaani ni choka mbaya haswaaaaaa mnuka vumbi na jasho la Dar na hizo nchi alizozitaja aliziona kwenye movies za akina van dame
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yaaanj haya mambo yasikie tu kwa mwenzio aiseee sio poa yaani zamani nilikuwa nasikia mtu akijinyonga nilihisi huyo jamaa ni mbwa tu na mjinga sasa mimi sasa kiukweli mie nimekulia kwenye familia ya kishua yaani kishua haswa unajua wa kishua mimi ni wa kishua haswa yaani wakishua haswaa yaani ni wakishua

Kiukweli mambo yanabadilika maishani nilifungua kampuni yangu uingereza,Nairobi, Gaborone na nchi karibu tano lakini leo ninavyokuambia kampuni yangu imepigwa pini nchi zote hizo kwa madeni na utakatishaji pesa yaani sio poa wakuu kwa hapa nilipo nimebakiwa nyumba zangu 6 tatu ziko upanga,2 masaki na nyingine zipo mbezi Beach kwa yusuph achilia mbali zingine zilizoko London,New York na Indiana na zingine ziko Dubai kiukweli nashindwa kupata peace of mind baada ya mtalaka wangu kutaka kulipwa fidia ya bilioni 30 baada ya kuachana yaani natamani kujihang ila njia sahihi ni kujichoma moto
Uoni haya kuandika uongo?
 
Back
Top Bottom