toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Bwege ww weka matokeo ya el classico za misimu miwili iliyopita hapa siku nyingine kabla huja comment nenda Google
Misimu gani kenge wewe ?Bwege ww weka matokeo ya el classico za misimu miwili iliyopita hapa siku nyingine kabla huja comment nenda Google kwanza.
usiwe mpuuz hesabu ndogo tu zinakushinda ? msimu wa 2021/2022 kweli Madrid alikuwa bingwa kwa kumpiga liverpool goli moja bila la Junior na hapo ni msimu mmoja nyuma sio miwili sababu kabla ya 2022 madrid alikuwa bingwa mwaka 2018, lakin ule msimu mech ya mwisho kucheza na barcelona alifungwa nne Auba akifunga goli mbili kama sikosei , sasa tano ulizozisema wewe ziko wapi ? Hivi ukiwa mpuuz na mwongo mpaka uje huku tukujue ? Siku nyingine get your facts together, LETA HAPA DATA ZA MADRID KUPIGWA 5 na BARCA ALAFU AKASHINDA CHAMPIONS LEAGUE MSIMU HUO HUO.. wachambuzi wa mibiki mitali mnasumbua sana, haya kagugo uje na hizo data hapa jingaz wewe…Bwege ww weka matokeo ya el classico za misimu miwili iliyopita hapa siku nyingine kabla huja comment nenda Google kwanza.