Muda si mrefu Simba itarudi kwenye class yake. Form is temporary, but class is permanent

Muda si mrefu Simba itarudi kwenye class yake. Form is temporary, but class is permanent

Simba haiwezi kuwa bora mpaka mfumo wa ulinzi uimarike. Kwa sasa hata Simba wakishinda lakini lazima waruhusu magoli.

Subirini klabu bingwa mtakavyoruhusu magoli.
 
simba na class wapi na wapi nyie................mlivyofulia mkalamba miguu ya gabachori mkaanza kulia moooooo kama ng'ombe wa ranch ya ruvu hadi mkauza timu kwa muhindi kwa bilioni 20 za magumashi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Yanga na kufulia kwake kote hakuuza timu,,,,,,,,,,,Yanga ni class toka zamani ,mikia mlipata muda wa kutamba baada ya yanga kufulia aliposepa manji, ila hela iliporudi mmebaki kuimba taarabu tu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,na muhindi alivyo mshenzi kawawekea kono lenye vidole vi 5 kwenye jezi lenu na mkapapaswa goli 5 , na shida lile li mkono kwa wavaa jezi wengi wa mkia hua linaishiaga sehemu ya kalio,,,,,,,..............mjumbe hauwawi
 
Sio kwa timu hii ninayoiona mimi. Simba kwanza walihitaji kuongeza wachezaji wazuri kuongeza nguvu waliopo. Ni bahati mbaya aliyekuwa bora ni Che Malone, wengine hamna kitu. Wachezaji wa Simba wamechoka, uwezo umepungua kwa msimu huu wanapoteza tena.
mhindi anakula faida...................mchezaji mzuri pesa ndefu muhindi atakula nini, acha wabebe magarasa kama wenzao azam
 
Asante kwa kujitoa ufahamu!! Unafikiri walikosea walioiweka Simba miongoni mwa timu bora 8 kushiriki mashindano ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE? Simba ni TOP CLASS!!
Top class anapigwa tano Nyumbani ? Yan uende cairo ukampige Al Ahly tano ? Labda we mwenzetu Huelew top class ni nini ? ..Na maneno kama haya ya kudanganyana ndio yalofanya mgongwe tano, timu gani semaji linajifanya rafiki wa etoo, mangungu eti anampigiaga simu zidane, alafu try again anawasiliana na messi, jaman mpira hauchezwi mdomoni 😂😂😂😂😂😂
 
Simba itarudi kwenye ubora wake hilo halina mjadala, hawa vyura wanaotupigia kelele sasa hivi ni kwasababu ya ule ushindi walioupata dhidi yetu, lakini kabla ya pale walivyotandikwa na Ihefu wote walikuwa kimya, hapo ndio utaona matokeo ya mpira ni kama upepo tu, huja ja kupita.
 
Simba ni TOP CLASS! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM!

Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary. Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!
Kwani tumesema kitu!??
 
Kelele mnajipigia wenyewe bana..
 
Simba itarudi kwenye ubora wake hilo halina mjadala, hawa vyura wanaotupigia kelele sasa hivi ni kwasababu ya ule ushindi walioupata dhidi yetu, lakini kabla ya pale walivyotandikwa na Ihefu wote walikuwa kimya, hapo ndio utaona matokeo ya mpira ni kama upepo tu, huja ja kupita.
Mwaka wa 3 huu yanga yuko juu yako.
Na hili kalitazame
 
Simba ni TOP CLASS! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM!

Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary. Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!
Tanzania hakuna die hard fans wala wachambuzi wa mpira wanaenda na upepo na matukio kuna kipindi walimkataa kibu denis kuna kipindi walimkataa aziz ki sasa hivi hawamtaki onana hawajui kuweka akiba ya maneno woa wakikataa kitu ni moja kwa moja ndio kama kwenye hili sakata la simba na yanga yaani ukiangalia wachambuzi na mashabiki kuna watu wamewakatia tamaa kabisa ndio maana kila siku wanaumbuka.
 
Top class anapigwa tano Nyumbani ? Yan uende cairo ukampige Al Ahly tano ? Labda we mwenzetu Huelew top class ni nini ? ..Na maneno kama haya ya kudanganyana ndio yalofanya mgongwe tano, timu gani semaji linajifanya rafiki wa etoo, mangungu eti anampigiaga simu zidane, alafu try again anawasiliana na messi, jaman mpira hauchezwi mdomoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madrid alipigwa 5 na Barcelona je alishuka daraja mwisho wa siku akabeba mpaka UEFA champions league
 
Madrid alipigwa 5 na Barcelona je alishuka daraja mwisho wa siku akabeba mpaka UEFA champions league
Aisee huku ndio umeyakanyaga mkuu 29 november 2010 ndio madrid aligongwa tano na Barcelona kocha akiwa Jose, huu msimu barcelona alishinda La liga kwa point 74 Madrid akiwa na 67 na champions league bingwa alikuwa barcelona alimgonga united 3-1 sasa mkuu kwanini unadanga uma ? Unadhani sisi mpira tunabahatisha ? Sisi mpira tunaungalia masta hatusubir vijiwe vitusimulie
 
Madrid alipigwa 5 na Barcelona je alishuka daraja mwisho wa siku akabeba mpaka UEFA champions league
Dah mkuu unafananisha Real madrid na Sumba em kuwa serias [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Simba hua Bora pale Yanga inapokua dhaifu... Lakini Simba haiwezi kutawala wakati Yanga akiwa vizuri
Kama ni ligi ya ndani hichi ulichosema hakina maana sababu ipo wazi Simba na Yanga ndio wababe wa ligi na mmoja akiwa dhaifu mwingine anatawala. Ukisema kimataifa ni lini Yanga imetawala kimataifa zaidi ya juzi hapa?
 
Mkiendelea na ujinga wenu kujiwazia ni best sijui giant in Africa mkajikita kwenye undezi wa mara tumehujumiwa, sijui Yanga kahonga, mara Inonga na Chama wamepokea hela hamtakaa mrekebike kamwe!
 
Attachments

  • 20231112_081254.jpg
    20231112_081254.jpg
    137.6 KB · Views: 2
Aisee huku ndio umeyakanyaga mkuu 29 november 2010 ndio madrid aligongwa tano na Barcelona kocha akiwa Jose, huu msimu barcelona alishinda La liga kwa point 74 Madrid akiwa na 67 na champions league bingwa alikuwa barcelona alimgonga united 3-1 sasa mkuu kwanini unadanga uma ? Unadhani sisi mpira tunabahatisha ? Sisi mpira tunaungalia masta hatusubir vijiwe vitusimulie
Bwege ww weka matokeo ya el classico za misimu miwili iliyopita hapa siku nyingine kabla huja comment nenda Google kwanza.
 
Back
Top Bottom