Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhindi anakula faida...................mchezaji mzuri pesa ndefu muhindi atakula nini, acha wabebe magarasa kama wenzao azamSio kwa timu hii ninayoiona mimi. Simba kwanza walihitaji kuongeza wachezaji wazuri kuongeza nguvu waliopo. Ni bahati mbaya aliyekuwa bora ni Che Malone, wengine hamna kitu. Wachezaji wa Simba wamechoka, uwezo umepungua kwa msimu huu wanapoteza tena.
Ukweli mchunguKinacho waponza ni kujivika ukubwa ambao ki uhalisia hamna wala hampo hio level
Top class anapigwa tano Nyumbani ? Yan uende cairo ukampige Al Ahly tano ? Labda we mwenzetu Huelew top class ni nini ? ..Na maneno kama haya ya kudanganyana ndio yalofanya mgongwe tano, timu gani semaji linajifanya rafiki wa etoo, mangungu eti anampigiaga simu zidane, alafu try again anawasiliana na messi, jaman mpira hauchezwi mdomoni 😂😂😂😂😂😂Asante kwa kujitoa ufahamu!! Unafikiri walikosea walioiweka Simba miongoni mwa timu bora 8 kushiriki mashindano ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE? Simba ni TOP CLASS!!
Kwani tumesema kitu!??Simba ni TOP CLASS! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM!
Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary. Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!
Kelele mnajipigia wenyewe bana..Simba itarudi kwenye ubora wake hilo halina mjadala, hawa vyura wanaotupigia kelele sasa hivi ni kwasababu ya ule ushindi walioupata dhidi yetu, lakini kabla ya pale walivyotandikwa na Ihefu wote walikuwa kimya, hapo ndio utaona matokeo ya mpira ni kama upepo tu, huja ja kupita.
Umemaliza mkuu, nilitaka kuandika hivi ila nimekuta umemaliza kila kituSimba hua Bora pale Yanga inapokua dhaifu... Lakini Simba haiwezi kutawala wakati Yanga akiwa vizuri
Huu ndio ukweli ili Simba awe Bora lazima ajitahidi sana yanga awe dhaifu tena kifedha na sio namna nyingine nje ya hapo yanga atachukua hili kombe(nbc) 10×Simba hua Bora pale Yanga inapokua dhaifu... Lakini Simba haiwezi kutawala wakati Yanga akiwa vizuri
Braza huna deni lolote nikulipie.Simba hua Bora pale Yanga inapokua dhaifu... Lakini Simba haiwezi kutawala wakati Yanga akiwa vizuri
Mwaka wa 3 huu yanga yuko juu yako.Simba itarudi kwenye ubora wake hilo halina mjadala, hawa vyura wanaotupigia kelele sasa hivi ni kwasababu ya ule ushindi walioupata dhidi yetu, lakini kabla ya pale walivyotandikwa na Ihefu wote walikuwa kimya, hapo ndio utaona matokeo ya mpira ni kama upepo tu, huja ja kupita.
Tanzania hakuna die hard fans wala wachambuzi wa mpira wanaenda na upepo na matukio kuna kipindi walimkataa kibu denis kuna kipindi walimkataa aziz ki sasa hivi hawamtaki onana hawajui kuweka akiba ya maneno woa wakikataa kitu ni moja kwa moja ndio kama kwenye hili sakata la simba na yanga yaani ukiangalia wachambuzi na mashabiki kuna watu wamewakatia tamaa kabisa ndio maana kila siku wanaumbuka.Simba ni TOP CLASS! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM!
Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary. Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!
Madrid alipigwa 5 na Barcelona je alishuka daraja mwisho wa siku akabeba mpaka UEFA champions leagueTop class anapigwa tano Nyumbani ? Yan uende cairo ukampige Al Ahly tano ? Labda we mwenzetu Huelew top class ni nini ? ..Na maneno kama haya ya kudanganyana ndio yalofanya mgongwe tano, timu gani semaji linajifanya rafiki wa etoo, mangungu eti anampigiaga simu zidane, alafu try again anawasiliana na messi, jaman mpira hauchezwi mdomoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee huku ndio umeyakanyaga mkuu 29 november 2010 ndio madrid aligongwa tano na Barcelona kocha akiwa Jose, huu msimu barcelona alishinda La liga kwa point 74 Madrid akiwa na 67 na champions league bingwa alikuwa barcelona alimgonga united 3-1 sasa mkuu kwanini unadanga uma ? Unadhani sisi mpira tunabahatisha ? Sisi mpira tunaungalia masta hatusubir vijiwe vitusimulieMadrid alipigwa 5 na Barcelona je alishuka daraja mwisho wa siku akabeba mpaka UEFA champions league
Dah mkuu unafananisha Real madrid na Sumba em kuwa serias [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Madrid alipigwa 5 na Barcelona je alishuka daraja mwisho wa siku akabeba mpaka UEFA champions league
Kama ni ligi ya ndani hichi ulichosema hakina maana sababu ipo wazi Simba na Yanga ndio wababe wa ligi na mmoja akiwa dhaifu mwingine anatawala. Ukisema kimataifa ni lini Yanga imetawala kimataifa zaidi ya juzi hapa?Simba hua Bora pale Yanga inapokua dhaifu... Lakini Simba haiwezi kutawala wakati Yanga akiwa vizuri
Mkiendelea na ujinga wenu kujiwazia ni best sijui giant in Africa mkajikita kwenye undezi wa mara tumehujumiwa, sijui Yanga kahonga, mara Inonga na Chama wamepokea hela hamtakaa mrekebike kamwe!
Bwege ww weka matokeo ya el classico za misimu miwili iliyopita hapa siku nyingine kabla huja comment nenda Google kwanza.Aisee huku ndio umeyakanyaga mkuu 29 november 2010 ndio madrid aligongwa tano na Barcelona kocha akiwa Jose, huu msimu barcelona alishinda La liga kwa point 74 Madrid akiwa na 67 na champions league bingwa alikuwa barcelona alimgonga united 3-1 sasa mkuu kwanini unadanga uma ? Unadhani sisi mpira tunabahatisha ? Sisi mpira tunaungalia masta hatusubir vijiwe vitusimulie
Kwani real Madrid wanacheza rugbyDah mkuu unafananisha Real madrid na Sumba em kuwa serias [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]