kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 938
Soon? ili tutoke Dar kwenda mikoani, hao wanaochora washauri wachore Ubungo iwe hivi.Hapo tutafika soon!! Wanaanza Ubungo na Tazara, sasa hv wapo kwenye kipindi cha kuandaa michoro!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon? ili tutoke Dar kwenda mikoani, hao wanaochora washauri wachore Ubungo iwe hivi.Hapo tutafika soon!! Wanaanza Ubungo na Tazara, sasa hv wapo kwenye kipindi cha kuandaa michoro!!
Tangu nianze kufanya kibarua posta, leo nime experiance foleni kubwa sana. Najiuliza nini sababu?
Ndio maana tunaona siku zinaisha haraka.
nasemaaaaa tenaaaa siyo lazimaaaaa kila mtu awe anaenda na gari lake town paki home au liwache sehemu ukirudi lipitie fool stop......tumieni daladalaaaaaa ila kila mtu mbishi anataka aonekane na gari kazini au town tupande daladala tu .....tupunguze foleni
acha gari lako sheli au sehemu ya usalama wape vojana 500 tu ilimradi sehemu iwe safe...nakubali hakuna sehemu ya maegesho maana nchI au serikalI hii hawajui kuplan mambo kama hayo...Mkuu nadhani ulimaanisha FULL stop and not otherwise...lakini tatizo liko pale pale, Je, sehemu za maegesho ya magari(parking) zipo? kama zipo, zipo za kutosha? kama zipo za kutosha vipi gharama zake(kwa saa/siku)?
acha gari lako sheli au sehemu ya usalama wape vojana 500 tu ilimradi sehemu iwe safe...nakubali hakuna sehemu ya maegesho maana nchI au serikalI hii hawajui kuplan mambo kama hayo...
Habarini,
Yaaani sikuamini,
Mi nimkazi wa Dar sawa, lakini nature ya kazi yangu na mahala nikaaapo huwa sikutani sana na haya niliyoyaona leo.
Nilikwenda mbezi ya kimara kulala huko na leo asubuhi nikasema "nirauke" asubuhi na mapemaaa ili niwahi nyumbani kwangu nikalale maana huko mbezi kulikua na shughuli flani.
Saa 11 asubuhi naingia barabarani kuelekea maeneo ya ubungo. Nimekutana na foleni ndefu sana.
Nikajiuliza hawa watu wanawahi makazini sawa. Lakini kazini unatakiwa uripoti labda saa mbili. Wewe unaamka kwako say saa10 alfajiri ili by saa 11 alfajir uwe barabarani.
Mwili wako unakua unafikiria na kufanya kazi jumla yamasaa 13. Yaani kuanzia saa 10 alfajir mpaka 11 Jioni.
Je utendaji wa kazi hapa kweli utakua wa ufanisi? Akili itakua active kweli kwa massaa yote haya? Adha yote ya nini hii? Dah!
hakuna kitu kinachonikera na kuniondolea furaha kama kero ya foleni hapa Dar.
Nawaza jinsi ninavyoamka saa 10 alfajiri na kufika posta saa mbili, ili niwahi kazini maana muhindi haelewi foleni wala nyanyaake miundombinu.
Nawaza hivi kwa miaka yote hiyo aliyokua waziri wa ujenzi kama alishindwa je akiwa raisi akipita na ving'ora itakuaje??
Sishawishiki kumpa kura yangu bora aiibe kutoka Chadema tar 25 oct.
Wizara nyepesi kuliko zote kuziongoza na watu wakakukubali.
1)Ni wizara ambayo vitu vyake vinaonekana kwa macho ya kawaida(Tangible),haihitaji uwe msomi uone hili ni daraja.
2)Unapewa pesa kisha unatangaza tenda kuwa mwenye uwezo wa kufanya ujenzi fulani aje,uzuri ni kwa kuna utitiri wa makampuni ya ujenzi.
3) Matokeo yake huonekana kwa haraka kama lile jengo refu kuliko yote Africa Mahariki na Kati lililochukuwa miaka minne tu.
4) Sio watanzania wengi waliotembelea nchi za nje hivyo watu hawajilinganishi na nchi za nje kwa maendeleo yao ya barabara bali hujilinganisha na wao wenyewe walivyokuwa kabla.(Reference point)
Ila huwa ninashangaa kuwaona watu wanaotoka Kariakoo hadi Mwenge kwa saa 1 na nusu,umbali wa dakika 20 Bado wanasema huyu mtu ni jembe.
Lakin maliasili,kilimo na maji nazo ni tangible au kwakuwa humkubali na humpendi basi hata lile jema linakuwa baya????