Elimringi moshi
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 191
- 108
Mkuu hiyo 11 zidisha mara 2 maana siku 1 gerezani ni masaa 12
Miaka 22 kama sijakosea.
Ina maana wewe huwezi soma alama za nyakati???mchukue awe rais wa nyumbani kwako
Jk hakuna kutoa msamaha kwa hawa wabakaji.kuna majitu humu yanajidai yana huruma wkt hayajui machungu waliyoyapa wale watoto,mmoja ni jirani yangu,walimuharibu vibaya sana.
Jamani si kweli kyfungwa kwa babu seya JK anausika waliwanajisi kweli na laiti wewe yngekuwa wewe umefanyiwa ungeomba wewe ndio umsamehe kwanza na sio rais ambaye watu wamemsingizia.Mimi nilukuwa nakaa jirani nao na walukuwa wanaingiza hao watoto na kuwafanyia mambo ya kishenzi kwa kuagizwa na mganga wa kuenyeji ili mambo yao yanyooke.Kama anamsingizia JK atoke adharani au aandike kwa haki za binadam wamtetee.Hata hivyo ungekuta kaonewa ungekuta akina Lissu na wenzake walishaibebea bango.Mimi JK sio baba yangu wala sio nini ila watu wanajua kusema vitu wasivyovijua
Wanamuomba jk msamaha kwa makosa waliyoyafanya! ? kumbe ni kweli walitenda maovu hayo
naamini wale watoto waliodaiwa kufanyiwa unyama na babu seya na wanawe wameshakuwa watu wazima sasa,kwanini wasiitwe na wahojiwe kama wana kumbukumbu zozote za kufanyiwa vitendo hivyo?au hata uchunguzi wa kina ufanyike kama ni kweli walishawahi kufanyiwa vitendo hivyo?naamini hata mashaid lazima wajichanganye tu kwa kipindi hiki kwani uongo ni rahisi kusahau.kama ni kweli babu seya na wanawe walitenda kosa hilo basi adhabu hiyo inawafaa na kama hawakutenda basi haki itendeke
Ok! Maana kama wao wanasema wameonewa na sababu ya kuonewa kwao hawasemi umma itajuaje kama wameonewa!kosa wanaloombea msamaha ni lile la kula tamuu ya kaka mkuu..huo ndo uovu wao.mkuu nayeye ana moyo wa nyama pia mambo mengine yanauma
Umejuaje kuwa Lowassa atakuwa Rais?
mchukue awe rais wa nyumbani kwako
Jamani si kweli kyfungwa kwa babu seya JK anausika waliwanajisi kweli na laiti wewe yngekuwa wewe umefanyiwa ungeomba wewe ndio umsamehe kwanza na sio rais ambaye watu wamemsingizia.Mimi nilukuwa nakaa jirani nao na walukuwa wanaingiza hao watoto na kuwafanyia mambo ya kishenzi kwa kuagizwa na mganga wa kuenyeji ili mambo yao yanyooke.Kama anamsingizia JK atoke adharani au aandike kwa haki za binadam wamtetee.Hata hivyo ungekuta kaonewa ungekuta akina Lissu na wenzake walishaibebea bango.Mimi JK sio baba yangu wala sio nini ila watu wanajua kusema vitu wasivyovijua
Baadhi ya hao watoto mmoja namjua hayupo nchini kabisa