Muda umeisha, Babu Seya ndio basi tena?

Muda umeisha, Babu Seya ndio basi tena?

Naamini rais ajaye asipokuwa team kikwete atawaachia huru. Tumuombe mungu. Na huyo aliyemhukumu na huyo aliyetoa maelekezo afungwe mungu wetu wa Ibrahim atampa adhabu inayomfaa kama sio leo ni kesho kama kweli hawakuwa wametenda hicho walichoambiwa wametenda
 
Jk hakuna kutoa msamaha kwa hawa wabakaji.kuna majitu humu yanajidai yana huruma wkt hayajui machungu waliyoyapa wale watoto,mmoja ni jirani yangu,walimuharibu vibaya sana.
 
Jk hakuna kutoa msamaha kwa hawa wabakaji.kuna majitu humu yanajidai yana huruma wkt hayajui machungu waliyoyapa wale watoto,mmoja ni jirani yangu,walimuharibu vibaya sana.

Walimteka , wanajuaana. ? Leo hii kawa mtu mzma hebu muulize ilkuwaje. Unaikumbuka nyimbo ya babu seya inaitwa SALMA?.
 
Jamani si kweli kyfungwa kwa babu seya JK anausika waliwanajisi kweli na laiti wewe yngekuwa wewe umefanyiwa ungeomba wewe ndio umsamehe kwanza na sio rais ambaye watu wamemsingizia.Mimi nilukuwa nakaa jirani nao na walukuwa wanaingiza hao watoto na kuwafanyia mambo ya kishenzi kwa kuagizwa na mganga wa kuenyeji ili mambo yao yanyooke.Kama anamsingizia JK atoke adharani au aandike kwa haki za binadam wamtetee.Hata hivyo ungekuta kaonewa ungekuta akina Lissu na wenzake walishaibebea bango.Mimi JK sio baba yangu wala sio nini ila watu wanajua kusema vitu wasivyovijua

lakini hapo hapo na mimi pia nina binti ninayemfahamu na hata sasa yupo na atakuwa ameshakua pia anaishi hapo sinza nyuma tu ya hiyo hostel ya udsm ( jina nalihifadhi yasije nikuta ya kamukara mie mtoto wa watu ) ambapo huyo binti alikuwa anahadithia kuwa yeye anachokumbuka ni kuwa alichukuliwa pamoja na wenzake kama wanne hivi kisha wakati wanapelekwa kupimwa kwa daktari ambaye na yeye pia alishapewa maelekezo nyeti na ya kimafia zaidi ni kwamba walivuliwa nguo zao za ndani kisha zile nguo zikapakwa chilli source ili kusudi tu wakipelekwa hospitalini kupimwa basi ionekane kuwa walibakwa na kuumizwa. sasa kama huyu binti alitudanganya ni shauri yake ila ukweli huo alituthibitishia mwenyewe kwa mdomo wake na bahati nzuri mtoto mdogo hua haongopi na ndiyo maana hata mkienda mahakamani na unashindanishwa na mtoto basi jua tu kuwa 95% imekula kwako kwani wanasikilizwa, wanaaminika mno lakini hata psychologically au naturally watoto wako very faithfull. na ili kulithibitisha hili wewe fanya tu kitendo kibaya nyumbani kwako kwa mfano ni baba halafu mkeo kasafiri na ukajitusu kuingiza mwanamke ndani basi kaa ukijua kuwa hata kama utajifanya kumpiga mkwara mwanao kuwa asiseme au ukamuhadaa kwa vijizawadi jua tu kwamba siku akiwa tu amekaa na mama yake ( mkeo ) dogo atafunguka kila kitu na hatimaye kitasanuka. kwa kumalizia tu ni kwamba hili suala la akina babu seya na mwanae papii lina confusions nyinginyingi tu kwa mfano wewe umemtaja " mjomba " kuwa kahusika lakini kuna taarifa kuwa bifu halikuwa la " mjomba " bali ni yule i.g.p wetu mstaafu aishie morogoro na ambaye amejenga bonge la msikiti maeneo ya misufini jirani kabisa na soko la manzese la morogoro na alishawahi hata kukumbwa na kashfa ya kukataa mti wake mzuri wa mbegu aliyoipanda mwenyewe na beki tatu ndani ya 6 * 6 na wengine pia wanahusisha na " mtangaza nia ambaye mpaka jana tunaaminishwa kuwa ameshajikusanyia saini laki 7 na elfu hamsini ". sasa sijui tuamini lipi na tushike lipi labda kuna wengine wanaweza wakawa wanalijua hili hivyo si vibaya na wao tukapata mtazamo au ufahamu wao wa hili suala.
 
Wanamuomba jk msamaha kwa makosa waliyoyafanya! ? kumbe ni kweli walitenda maovu hayo
 
Wanamuomba jk msamaha kwa makosa waliyoyafanya! ? kumbe ni kweli walitenda maovu hayo

kosa wanaloombea msamaha ni lile la kula tamuu ya kaka mkuu..huo ndo uovu wao.mkuu nayeye ana moyo wa nyama pia mambo mengine yanauma
 
naamini wale watoto waliodaiwa kufanyiwa unyama na babu seya na wanawe wameshakuwa watu wazima sasa,kwanini wasiitwe na wahojiwe kama wana kumbukumbu zozote za kufanyiwa vitendo hivyo?au hata uchunguzi wa kina ufanyike kama ni kweli walishawahi kufanyiwa vitendo hivyo?naamini hata mashaid lazima wajichanganye tu kwa kipindi hiki kwani uongo ni rahisi kusahau.kama ni kweli babu seya na wanawe walitenda kosa hilo basi adhabu hiyo inawafaa na kama hawakutenda basi haki itendeke

Baadhi ya hao watoto mmoja namjua hayupo nchini kabisa
 
kosa wanaloombea msamaha ni lile la kula tamuu ya kaka mkuu..huo ndo uovu wao.mkuu nayeye ana moyo wa nyama pia mambo mengine yanauma
Ok! Maana kama wao wanasema wameonewa na sababu ya kuonewa kwao hawasemi umma itajuaje kama wameonewa!
hata kama wametafuna tunda la huyo nani sijui wangetamka tu
 
Jamani si kweli kyfungwa kwa babu seya JK anausika waliwanajisi kweli na laiti wewe yngekuwa wewe umefanyiwa ungeomba wewe ndio umsamehe kwanza na sio rais ambaye watu wamemsingizia.Mimi nilukuwa nakaa jirani nao na walukuwa wanaingiza hao watoto na kuwafanyia mambo ya kishenzi kwa kuagizwa na mganga wa kuenyeji ili mambo yao yanyooke.Kama anamsingizia JK atoke adharani au aandike kwa haki za binadam wamtetee.Hata hivyo ungekuta kaonewa ungekuta akina Lissu na wenzake walishaibebea bango.Mimi JK sio baba yangu wala sio nini ila watu wanajua kusema vitu wasivyovijua

Kwetu upop ni -----
 
Adhabu walioipata ni haki yao wala hawajaonewa. Hawa walikuwa wahalifu na wakatili wasiositahili msamaha. Mbona hawasemi kuwa ni waathirika wa HIV na baadhi ya watoto waliofanyiwa hivyo ni victim kwa sasa? Hadi watoto wenu wa kuwazaa wafanyiwe hivyo ndio muone unyama wa hawa washenzi
 
Babu Sega kaonewa mbona yule mwalimu manage ni kuwadi wa kuwatoa watoto shule kaachiwa. Watoto walisema wameingililiwa na familianzima mbona wawili wametolewa. Mbona mango mwenye duka karibu hakimu alimkataa kutoa ushahidi
 
Jamani si kweli kyfungwa kwa babu seya JK anausika waliwanajisi kweli na laiti wewe yngekuwa wewe umefanyiwa ungeomba wewe ndio umsamehe kwanza na sio rais ambaye watu wamemsingizia.Mimi nilukuwa nakaa jirani nao na walukuwa wanaingiza hao watoto na kuwafanyia mambo ya kishenzi kwa kuagizwa na mganga wa kuenyeji ili mambo yao yanyooke.Kama anamsingizia JK atoke adharani au aandike kwa haki za binadam wamtetee.Hata hivyo ungekuta kaonewa ungekuta akina Lissu na wenzake walishaibebea bango.Mimi JK sio baba yangu wala sio nini ila watu wanajua kusema vitu wasivyovijua

Amina. Umesema yote na mimi nafahamu hivyo, hawasingiziwi hata tone. Wanaodai eti hao wahalifu wamesingiziwa hawakufuatilia mwenendo wa kesi ile. Ilionekana dhahiri walifanya na kwa vitendo vile ingefaa wanyongwe kabisa. Hivi mtoto wako afanyiwe vitendo kama vile halafu usikie Rais wako eti kamsamehe utajisikiaje?
 
Back
Top Bottom