Haitokuwa hivyo, we niambie ni upi muda sahih?Hata tukikuambia utafuata ratiba mwanzoni tu baada ya hapo itakuwa fujo tu hutofuata ratiba kabisa kwanza utaanza kuhisi unapangiwa
Duh! Kama hivyo bhc ndoa ni jela,Muda sahihi wewe kurudi ni baada ya kazi au majukumu yako. Nasisitiza. Story za napita kwa fulani au nataka enda kwa fulani kaongee nyumbani
Duh! Sio kwasabab yake tenaUtakapomaliza kazi zako rudi nyumbani...
Upumzike upate nguvu ya kuendelea kesho (sio sababu ya huyo mtu wako)
Haipendezi kwakwelikama hata muda wa kurudi kwako unataka upangiwe na wana jf achana na NDOA dogo we suuza rungu tu
Mke mwelevu anajua kabisa cha muhimu mume amerudi kulala nyumbani....wanaume tunasaka pesaHata tukikuambia utafuata ratiba mwanzoni tu baada ya hapo itakuwa fujo tu hutofuata ratiba kabisa kwanza utaanza kuhisi unapangiwa
[emoji1787][emoji1787]Muda sahihi ni baada ya kufanya kazi + kupata bia mbili tatu za kupoteza mawazo + kuhudumiwa na mchepuko [emoji205]
Mpaka hapa uzi ufungweNdoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.