Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
- Thread starter
- #21
Nimekupata vema mkuuUsijipangie mda maalum wa kurudi nyumban, bali weka kanuni za jinsi unataka familia yako iwe hapo hapo utajikuta unajua mda wa kurudi home ni upi
Mfano: chakula cha usiku ni lazma tushiriki familia nzima kwa wakat mmoja na mda wa kula usizidi saa mbili na nusu usiku, sitoki nyumban kama sina jambo lenye maana huko mitaan, nk
Alaf kama umeamua kuishi na mtu kama mme na mke jua upo chin yake na yeye chin yako jitaidi kumpa kipaumbele zaidi kuliko vitu visivyo na manufaa kwako
Sent using Jamii Forums mobile app