Muda upi ni sahihi kwa mume kurudi nyumbani?

[emoji3][emoji3][emoji3] sasa kama umemaliza kazi huwezi kurudi nyumbani? Kurudi nyumbani nako kuna baraka si wanawake wote wanagubu na midomo mnunio, wengine baba akiwa nyumbani ni full shangwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu. Nimeshaona hiyo kuna jamaa alikuwa anatamani muda wa kazi uishe awahi home kufurahia ndoa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yaani una hela alafu mke sio pisi kali..hayo ni matumizi mabaya ya pesa
Japokuwa umenichekesha sana ila ni kweli kuna watu wana hela ila wake zao duu, utashangaa. Hivi karibuni nilihudhuria send off moja, ndugu wa maharusi wote ni wasoni na wako kwenye vitengo muhimu ya hela sasa wake zao sasa, hawana sura wala shepu. Hata.mimi nilijiuliza inakuwaje hii hali.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Japokuwa umenichekesha sana ila ni kweli kuna watu wana hela ila wake zao duu, utashangaa. Hivi karibuni nilihudhuria send off moja, ndugu wa maharusi wote ni wasoni na wako kwenye vitengo muhimu ya hela sasa wake zao sasa, hawana sura wala shepu. Hata.mimi nilijiuliza inakuwaje hii hali.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
hiyo mara nyingi inakuwa ile unasema hapa ngoja nikojoe tuu ndio unashngaa bidada kakuganda basi ni shida tupu unaishia kusema wacha tuyajenge tuu kama pisis kali nitakuwa na kula tuu huko nje
 
Haa haa haa watakuwa wanajifariji tumeoa vichwa hatuoi sura wala makalio, ila sasa unaweza kuta vimada wao a.k michepuko iko vizuri kweli na wanaihudumia vizuri kabisa.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
hiyo mara nyingi inakuwa ile unasema hapa ngoja nikojoe tuu ndio unashngaa bidada kakuganda basi ni shida tupu unaishia kusema wacha tuyajenge tuu kama pisis kali nitakuwa na kula tuu huko nje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndivyo huwa halafu ukimtizama mwanaume mjanja kweli.
 
Jama alikuwa anarud saa 2 mke anapiga kelele mbay siku ya piliakarud saa nne mkee kaenda kwa wazaz kumsemhea siku iliyofata jamaa alirud alfajir na kuoga na kuondoaka
 
Muda mzuri wa kurudi nyumbani ni asubuhi.
 
Jama alikuwa anarud saa 2 mke anapiga kelele mbay siku ya piliakarud saa nne mkee kaenda kwa wazaz kumsemhea siku iliyofata jamaa alirud alfajir na kuoga na kuondoaka
Sasa anamkomoa nani? Unarudi asubuhi unakuta wenzio walishaosha wanawake wenyewe wasiku hizi utasikia atajua mwenyewe arudi asirudi shauri yake[emoji23][emoji23]
 
hiyo mara nyingi inakuwa ile unasema hapa ngoja nikojoe tuu ndio unashngaa bidada kakuganda basi ni shida tupu unaishia kusema wacha tuyajenge tuu kama pisis kali nitakuwa na kula tuu huko nje
Kweli kabisa. Halafu wanakuwaga wajanja sana wakimkamata mtu na hasa wakijua ana mafanikio kitu ambacho wale wanaojiona pisi kali hawakielewi wanajiona wazuri so kila siku watu watamtokea tu yupo sokoni na anaringia urembo wake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa. Halafu wanakuwaga wajanja sana wakimkamata mtu na hasa wakijua ana mafanikio kitu ambacho wale wanaojiona pisi kali hawakielewi wanajiona wazuri so kila siku watu watamtokea tu yupo sokoni na anaringia urembo wake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
eeh inabidi uwe mjanaja sasa wewe sura huna tako huna na tabia nyo ukose sasa utpata wapi mwanaume 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unawaza zinaa tu, sijui kazi utafanya saa ngapi...[emoji2]
Mwisho utakuja tena hapa kumlilia Samia kwamba ajira hakuna...teh[emoji1787]
Hahahahaba. Mwamba hapo sifanyi zinaa bali ninajamiiana au tunafanya tendo la ndoa coz yule ni mke wangu zina unafanya na ambae hujamuoa. Ukiwa na genye pia akili ya kazi inapotea.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Salaam wanaJamiiforums

Kwakuwa ndugu bwana Fene huyu manzi mkali nilie nae mtoto shombeshombe aliekuwa hasikii haoni kwangu amekuwa daily akinihimiza nimuoe basi nimeamua nije kwa marafiki zangu, wanangu wanaJamiiforums nije kuchota maarifa ya ndoa mdogomdogo nikishapima nina imani nitakuwa tayari nina maamuzi juu yake

Swali kwa leo, ni upi muda sahihi wa mume kurudi nyumbani? (ili ndoa iwe ni yenye kunawili)

Kwenu wakubwa wangu na wadogo zangu sote kwa pamoja tujifunze

Unatakiwa kurudi kabla ya jogoo hajawika.
 
Back
Top Bottom