Muda upi ni sahihi kwa mume kurudi nyumbani?

Muda upi ni sahihi kwa mume kurudi nyumbani?

Mke mwelevu anajua kabisa cha muhimu mume amerudi kulala nyumbani....wanaume tunasaka pesa
Inabidi uwe unarudi na hizo pesa maana hata ukilala hukohuko kesho ukiingia na burungutu hakuna shida, Sasa wewe wahi saa 10:30 jioni na huna hela uone kama hujaambiwa wenzako wanatafuta hela lione linachungulia jikoni tuu!
 
Kwahiyo braza Kwa akili zako timamu UMEAMUA KUOA..!!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Yaani bila kushinikizwa na yeyotee umeamua KUZITAFUTA SHIDA ZILIPO LALA?

Nacheka "Hiiii bagoshaaaaa" in JPM's voice.

#YNWA
Kwani baba yako hakuoa braza?
 
Kwanza nijulize kwenye ku handle stress una uwezo kiasi gani?km unauwezo mkubwa wahi kurudi nyumbani km uwezo wako ni mberile mberile chelewa kurudi .

Walau saa 3 kasoro hivi ndo uwe nyumbani.


Kuna watu wamekwambia ukitoka kazini rudi nyumbani wapuuze wengi wao hawana wake wala hawajawahi kuishi na mwanamke.


Wote tunajua chanZo kikuu cha stress kwa mwanaume aliyeoa ni mkeo at least 70% ya waoaji wanapata stress nyingi kutoka kwa wake zako kuliko kazi.

Hivi unadhani wanaume wenzako wanaojaa kwenye ma bar saa 11 jioni hadi saa 3 usiku ni wajinga??kwamba wanaojaa kwenye ma draft na ma bao ni vichaaa yaani na wale wanaobishana mpira kwenye kijiwe cha magazeti hawana AKILI.Hapana,wale wote wapo kupunguza stress za kazi na kupoteza mda ili mda wa stress za nyumbani uwe mchache.
Hivyo ndivyo wanaume wameweza kuishi miaka mingi otherwise pitia kwa mke mdg kapige bao 2 akili ikae sawa ujiandae kurudi kwako kwenda kununiwa bila sababu
 
Inabidi uwe unarudi na hizo pesa maana hata ukilala hukohuko kesho ukiingia na burungutu hakuna shida, Sasa wewe wahi saa 10:30 jioni na huna hela uone kama hujaambiwa wenzako wanatafuta hela lione linachungulia jikoni tuu!
Kabisa...ukifika tuu tupa laki mbili mezani hapo alafu huyo sepa zako kuoga. Utashanga mbususu unaletewa huko bafuni
 
Muda sahihi hautakusaidia lolote kwenye ndoa yako.

Wewe rudi mda utakaomaliza shughuli zako,, na shughuli ziwe za kuingiza hela
 
Sasa si mpaka uwe na dili la maana. Wewe ni mlinzi umebahatika kuwa na demu mzuri mkwanja wa kutosha huna . Hapo vp?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hamnaga kitu kama hicho yaani mlinzi upate pisi kali....siamini. hizi hizi pisi kali zinazotaka kuonekana na iphone mara wapo samaki samaki
 
Nature yakazi yako ndo inaamua Mana muda wakurudi wengine ndo tunaondoka kulinda bank na ATM zilipo
 
Back
Top Bottom