Muda upi ni sahihi kwa mume kurudi nyumbani?

Muda upi ni sahihi kwa mume kurudi nyumbani?

Mwanaume hana ratiba maalumu ya kurudi nyumbani, huko ni kufuata masharti ya mwanamke, ukifanya hivyo unakaribisha ugomvi mkubwa baadae utakapokujashindwa kufuata ratiba.
 
Mwanaume utarudije nyumbani? Kwani wewe mtoto?

Nyumbani ni sehemu ya kulala tu huwa haturudi nyumbani. So ukiuliza ni mda gani sahihi wa kurudi ni sawa na kuuliza ni mda gani sahihi wa kuingia lodge.
 
Tuonyeshe japo watatu
Kuna watu nawafahamu mtu na mkewe na huwezi jua kama Mme ni Askari sugu, kuoa pisi kali si mpaka uwe na mihela, kuna watu wanapesa hao ukionyeshwa mkewe utashangaa huyu bwana vepeee alitafutiwa nini! Sio pisi kali wote ni after money hapana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani una hela alafu mke sio pisi kali..hayo ni matumizi mabaya ya pesa
 
Mwanaume hapaswi kuridi nyumbani banaaa....😎
Kwanza unarudi nyumbani kufanya nini kwamfano...🙄
 
Back
Top Bottom