Muda upi ni sahihi kwa mume kurudi nyumbani?

Muda upi ni sahihi kwa mume kurudi nyumbani?

Salaam wanaJamiiforums

Kwakuwa ndugu bwana Fene huyu manzi mkali nilie nae mtoto shombeshombe aliekuwa hasikii haoni kwangu amekuwa daily akinihimiza nimuoe basi nimeamua nije kwa marafiki zangu, wanangu wanaJamiiforums nije kuchota maarifa ya ndoa mdogomdogo nikishapima nina imani nitakuwa tayari nina maamuzi juu yake

Swali kwa leo, ni upi muda sahihi wa mume kurudi nyumbani? (ili ndoa iwe ni yenye kunawili)

Kwenu wakubwa wangu na wadogo zangu sote kwa pamoja tujifunze

Yani yeye akiona huu muda unafaa arudi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Rudi saa nne usiku badili nguo ,nenda kaangalie mpira mpaka saa11 alfajiri ndo urudi kulala mkuu
 
Actually mda sahihi wa mwanaume kurudi haupo ni kulingana na majukumu yako sababu you are bread earner as well as a strange to your own familly. Hivo katika ujana wako fanya kazi kwa bidii sana huku ukimpenda sana mama wa watoto wako na usipofanya hivo watoto wtkuadhibu uzeeni
 
Mda wowote ili mradi jua linapochomoza uwe nyumbani
 
Muda wa kazi unapoisha rudi nyumban, kama kuna ratiba zingine zitakazo kuchelewesha toa taarifa mapema kuondoa tafrani ndani ya nyumba na maswali yasiyo na msingi. Pia ni muhimu sana kushiriki chakula cha usiku na mkeo au wanao.
Ni mlo wa usiku sio chakula cha usiku.
 
Hahaha utoto haishi wewe vibabu vya miaka 80 vinafia kwa guest. Nyumbani ni nyumbani tuu lazima turudi pale kati tulipotokea
wabishi ndowanakoishia maana mshahara wa dhambi ni mauti....imagine umetengeneza reputation yako kwa mda wote huo afu unaenda kufa kifo chaaibu juu ya kifua cha mtoto mbichi
 
Kama sehem ya kazi siyo changamoto, rudi saa kumi na mbili, oga, angalia watoto. Saa moja toka kasabahi jamaa na marafiki mpaka saa nne, kwa siku za match hata saa 23:59 ilimradi tarehe isibadilike tu. Ila usikae nyumbani mida ya saa 19:00 mpaka 22:00 😃😃😃😃
 
wabishi ndowanakoishia maana mshahara wa dhambi ni mauti....imagine umetengeneza reputation yako kwa mda wote huo afu unaenda kufa kifo chaaibu juu ya kifua cha mtoto mbichi
Sasa wewe umeshakufa hayo watakayowaza waliobaki watajua wenyewe cha msingi umefia kwenye utamu wa mbususu
 
Hutakiwi kuwa na muda maalum wa kirudi nyumbani. Siku ukipata dharura inakuwa shida nyumbani maswali mengi. So usitabirike.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Salaam wanaJamiiforums

Kwakuwa ndugu bwana Fene huyu manzi mkali nilie nae mtoto shombeshombe aliekuwa hasikii haoni kwangu amekuwa daily akinihimiza nimuoe basi nimeamua nije kwa marafiki zangu, wanangu wanaJamiiforums nije kuchota maarifa ya ndoa mdogomdogo nikishapima nina imani nitakuwa tayari nina maamuzi juu yake

Swali kwa leo, ni upi muda sahihi wa mume kurudi nyumbani? (ili ndoa iwe ni yenye kunawili)

Kwenu wakubwa wangu na wadogo zangu sote kwa pamoja tujifunze

Screenshot_20220215-213020.jpg
 
Kipato chako kitaamua uludi nyumban saa ngap ila mda mwingne kulud nyumban sio ttzo ishu ni kulala nyumban bas
 
Hakikisha hauzoeleki nyumbani.

Kuwa unpredictable, itapunguza mambo mengi.
 
Back
Top Bottom