Muda upi ni sahihi kwa mume kurudi nyumbani?

Salaam wanaJamiiforums

Kwakuwa ndugu bwana Fene huyu manzi mkali nilie nae mtoto shombeshombe aliekuwa hasikii haoni kwangu amekuwa daily akinihimiza nimuoe basi nimeamua nije kwa marafiki zangu, wanangu wanaJamiiforums nije kuchota maarifa ya ndoa mdogomdogo nikishapima nina imani nitakuwa tayari nina maamuzi juu yake

Swali kwa leo, ni upi muda sahihi wa mume kurudi nyumbani? (ili ndoa iwe ni yenye kunawili)

Kwenu wakubwa wangu na wadogo zangu sote kwa pamoja tujifunzeView attachment 2116493

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda mzuri kurudi nyumbani baada ya kuwowa ni saa saba mchana, hapo utafurahia ndoa mnoooo
 
Salaam wanaJamiiforums

Kwakuwa ndugu bwana Fene huyu manzi mkali nilie nae mtoto shombeshombe aliekuwa hasikii haoni kwangu amekuwa daily akinihimiza nimuoe basi nimeamua nije kwa marafiki zangu, wanangu wanaJamiiforums nije kuchota maarifa ya ndoa mdogomdogo nikishapima nina imani nitakuwa tayari nina maamuzi juu yake

Swali kwa leo, ni upi muda sahihi wa mume kurudi nyumbani? (ili ndoa iwe ni yenye kunawili)

Kwenu wakubwa wangu na wadogo zangu sote kwa pamoja tujifunzeView attachment 2116493

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa ww ni muislam unatakiwa kurudi nyumbani kabla ya saa 2 ucku. Japo kuna dhalula inaweza ikakufanya uchelewe zaidi ya hapo, muda unaomaliza kazi , umbali kutoka kazini hadi nyumbani , foleni barabalani lkn kama huna ch muhimu , kupiga soga na marafiki, kupitia bar nk rudi kabla ya muda huu na unaswali insha na mke wako inapendeza zaid
 
Utiifu na kupendana ni muhimu.. mke inabidi amtii na kumpenda mmewe na hivyo hivyo kwa mme.. so mda wowote ataoamua kurudi mme .. mke inabidi atii ili asianzishe migogoro ndoani
 
Ikiwa ww ni muislam unatakiwa kurudi nyumbani kabla ya saa 2 ucku. Japo kuna dhalula inaweza ikakufanya uchelewe zaidi ya hapo, muda unaomaliza kazi , umbali kutoka kazini hadi nyumbani , foleni barabalani lkn kama huna ch muhimu , kupiga soga na marafiki, kupitia bar nk rudi kabla ya muda huu na unaswali insha na mke wako inapendeza zaid
Imekaa vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimaliza kazi rudi nyumbani hata kama ni saa sita mchana rudi kwa mkeo kwanza.
 
Back
Top Bottom