Muda wa Hersi Saidi na GSM kuulizwa uko wapi ubingwa,bado?!!!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.


Kwa mwenendo wa ligi ulivyo ni dhahiri Simba Sc imeshakuwa bingwa wa VPL,tena amekuwa bingwa mara 4 mfululu. Ili Yanga awe bingwa inabidi Yanga afunge mechi zake zote 7 zilizobaki na Simba Sc apoteze mechi 4. Ni never ever.

Sasa basi, wakati ligi inaanza Eng.Hersi aliwaaminisha wana Yanga lazima wawe mabingwa mwaka huu. Na kama wakikosa ubingwa basi waulizwe wao GSM.

Nawakumbusha Yanga,muda wa kuwauliza badooo? kama bado mnasubiri nini kwa miujiza gani
 
Dada shabiki wa Yanga mkazi wa Buza awe wa kwanza kuuliza.
Sura Fanta.
Mikoni Sparleta.
Miguu Pepsi bigi.
Injinia Hersi soma hiyoooooooooooooooo.
 
Anza wewe kumuuliza
 
Wamatopeni mmeanza kuhoji mambo ya huku tena?

Yenu mmemaliza ya 20B na FCC?
 
Ndio maana la Mapinduzi walitaka liende bungeni
 
Nyie KAZI yenu kujipa moyo Tu.
Mabingwa wa kihistoria.
INAWASAIDIA NINI?
Hatuna haja ya kumuuliza, juhudi zake zinaonekana na mapungufu yetu Kama Klabu tumeyaona. Ubabe wa Yanga katika makombe muda si mrefu utarejea. Bingwa Mara 27 hatishiwi nyau.
 
Yanga sports club[emoji196][emoji196][emoji196]wametuhakikishia wananchi bado wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa, hivyo tuwe na subra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…