OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa mwenendo wa ligi ulivyo ni dhahiri Simba Sc imeshakuwa bingwa wa VPL,tena amekuwa bingwa mara 4 mfululu. Ili Yanga awe bingwa inabidi Yanga afunge mechi zake zote 7 zilizobaki na Simba Sc apoteze mechi 4. Ni never ever.
Sasa basi, wakati ligi inaanza Eng.Hersi aliwaaminisha wana Yanga lazima wawe mabingwa mwaka huu. Na kama wakikosa ubingwa basi waulizwe wao GSM.
Nawakumbusha Yanga,muda wa kuwauliza badooo? kama bado mnasubiri nini kwa miujiza gani