Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Yanga ni mabingwa wa kihistoria.
Historia hii inawatosha.
Ubingwa wa siku hizi hauwahusu.
Historia hii inawatosha.
Ubingwa wa siku hizi hauwahusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu wapewe kombe la ubingwa wa kihistoria,hali ni mbayaYanga ni mabingwa wa kihistoria.
Historia hii inawatosha.
Ubingwa wa siku hizi hauwahusu.
Hakika maana ndicho wanacho kisisitiza kuwa nacho.Mwaka huu wapewe kombe la ubingwa wa kihistoria,hali ni mbaya
Hii mijitu mitaahira kweli kweli
Hivi utopolo wanapoiona clip hii leo sijui wanajisikiaje?View attachment 1767840
Kwa mwenendo wa ligi ulivyo ni dhahiri Simba Sc imeshakuwa bingwa wa VPL,tena amekuwa bingwa mara 4 mfululu. Ili Yanga awe bingwa inabidi Yanga afunge mechi zake zote 7 zilizobaki na Simba Sc apoteze mechi 4. Ni never ever.
Sasa basi, wakati ligi inaanza Eng.Hersi aliwaaminisha wana Yanga lazima wawe mabingwa mwaka huu. Na kama wakikosa ubingwa basi waulizwe wao GSM.
Nawakumbusha Yanga,muda wa kuwauliza badooo? kama bado mnasubiri nini kwa miujiza gani
Ukitaka kuwaona yanga almaarufu kama utopolo kawatafute kwenye jumbo la makumbusho!! Mabingwa wa kihistoria hao! Ukiwatafutia kwenye uwanja wa Mkapa utasubiri sana!Yanga ni mabingwa wa kihistoria.
Historia hii inawatosha.
Ubingwa wa siku hizi hauwahusu.