Muda wa Hersi Saidi na GSM kuulizwa uko wapi ubingwa,bado?!!!

Muda wa Hersi Saidi na GSM kuulizwa uko wapi ubingwa,bado?!!!

Yanga ni mabingwa wa kihistoria.
Historia hii inawatosha.
Ubingwa wa siku hizi hauwahusu.
 
View attachment 1767840

Kwa mwenendo wa ligi ulivyo ni dhahiri Simba Sc imeshakuwa bingwa wa VPL,tena amekuwa bingwa mara 4 mfululu. Ili Yanga awe bingwa inabidi Yanga afunge mechi zake zote 7 zilizobaki na Simba Sc apoteze mechi 4. Ni never ever.

Sasa basi, wakati ligi inaanza Eng.Hersi aliwaaminisha wana Yanga lazima wawe mabingwa mwaka huu. Na kama wakikosa ubingwa basi waulizwe wao GSM.

Nawakumbusha Yanga,muda wa kuwauliza badooo? kama bado mnasubiri nini kwa miujiza gani
Hivi utopolo wanapoiona clip hii leo sijui wanajisikiaje?
 
Yanga ni mabingwa wa kihistoria.
Historia hii inawatosha.
Ubingwa wa siku hizi hauwahusu.
Ukitaka kuwaona yanga almaarufu kama utopolo kawatafute kwenye jumbo la makumbusho!! Mabingwa wa kihistoria hao! Ukiwatafutia kwenye uwanja wa Mkapa utasubiri sana!
 
Back
Top Bottom